kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

zuchu – zawadi كلمات اغاني

Loading...

[verse 1: zuchu]
mon chérie ‘je t’aime beacoup
penzi lako gundi, nimenasa
mon chérie, kama uchawi upo
mganga wako fundi ‘hasa hasa
eh, mwamvuli w_ngu
moyo umeufunika
(wewe ndo)
kiboko yangu
unaejua pakunishika

[pre_chorus: zuchu]
kama mapenzi pilipili
lako laniwasha in a good way
nishakupa moyo na mwili
uwe wako ‘uchukue

[chorus: zuchu]
pokea (pokea)
zawadi (zawadi)
ya upendo w_ngu
(ya upendo)
w_ngu, my love
pokea (pokea)
zawadi (zawadi)
ya upendo w_ngu
(ya upendo)
w_ngu, my love
(instrumentals)

[verse 2: dadiposlim]
oh, uooh, oh
ma chérie, chérie
mu ungiye baridi weni komeya
mi uka makini
matso yangu ye hu ono hu fumbariya
zidisha ye zana
bawe huni lisi yilikiki kazana
(kazana)
kama mapenzi pilipili
lako laniwasha in a good way
nishakupa moyo na mwili
uwe wako ‘uchukue

[hook: zuchu & dadiposlim]
njoo tucheze kompa (kompa)
oh, baby
(mh, mmh, aah)
we laizer wewe
aah, yah, yah, yah, yah
eeh, warere (wakacha)
wakacha (warere)
mh, mh, mh, mh, mh, aah
[outro: zuchu & dadiposlim]
baby, pokea (pokea)
zawadi (zawadi)
ya upendo wa…
ya upendo w_ngu, my love
baby, pokea (pokea)
zawadi, (zawadi)
ya upendo w_ngu
ya upendo w_ngu, my love
oh, my love

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...