kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

young kacha – ipo siku كلمات اغاني

Loading...

(intro:young kacha) never lose hope,,,neverr,,ts yk,young kacha,,,thats my nick name
(verse 1:young kacha) kila napokaa nawaza sipati jibu/
nilipotoka balaa nilipo hakuna mbivu/
vipi napokwenda ntapata mnofu ntoke shavu?/
au ndo vile vile life all day litanipiga cha mbavu/
but, i know one day jah atabless/
ntakuwa boss ka mick mill au rozz wa may back/
hakuna strees wala wickness/
maswali yote yenye shida ntajibu ki high cl-ss/
j-po rghty now mi ndo boss wamakabwela/
bila k-msifia mdosi hakuna noti mwendo hasara/
j-po rghty now snitch wanasema nishambwela/
hadi nilichange dear gambe k-mpa strees young k!ller/
mi ni kama mtoto nae nyonya maziwa ya mama/
mwenye ndoto kubwa ipo siku ntakuwa na w-ngu mwana/
nawaza chakufanya, nasoma nilipokwama/
nikiamini ipo siku ntakuja kupata sana…………………………..

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...