kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ydnw dive – dawa كلمات اغاني

Loading...

na penzi la karafu
tande mwenzako nishanogea
usinipe roho juu
wenda, manyago yakauchukua

atatupange k_mi k_mi sitojali foleni
nita play part yangu tu
kikubwa usinifaniye uhuni
eti kisa siongei kuumiza isia zangu

mwenzo nime fall in love
ukija niacha nitaumia
amini mi nakupenda
ukija niacha nitaumia

maana kw_ngu we ndo
dawa dawa dawa
usiniruusu nikimbie
dawa dawa dawa
uje uniponye miye
dawa dawa dawa
usiniruusu nikimbie

usihende mwenfo kasi mama
penzi liende taratinu
na kama ukichoka mama
nitakubeba kama mtoto
waweza kuwa mwalimu w_ngu ma
unifunze unyagoni
waweza kuwa daktari w_ngu ma
uniponye maumivu
mimwenzako nishatendwa sana
nikalia nikacho
ila moyo w_ngu kwako mama
sitochoka ku kupenda

atatupange k_mi k_mi sitojali foleni
nita play part yangu tu
kikubwa usinifaniye uhuni
eti kisa siongei kuumiza isia zangu

amini mi nakuja dar
ukija niacha nitaumia
amini mi nakupenda
ukija niacha nitaumia

maana kw_ngu we ndo
dawa dawa dawa
usiniruusu nikimbie
dawa dawa dawa
uje uniponye miye
dawa dawa dawa
usiniruusu nikimbie

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...