yammi – namchukia كلمات اغاني
uzuri si hadidhiwi nayaona
haya aapa nayaona
mabaya yako kwa macho yangu nayona
sio kwamba napenda kuwa kin’gan’ganizi tatizo mazoea
nime kuzoea sidhani kama ntapona
napiga simu namba inatumika kila dakika
k_mbe ameni block ame ni blacklist amenichoka
roho inajenga sumu hata nkifika mbingu nime choka
mungu aliumba mapenzi lakini yana watu wake
wallahy namchukia k_mfahamu najutia
wallahy namchukia k_mfahamu najutia
unayo fanya siunaona uko sawa basi kazana
si unapenda hivi navyo lia na ku n’gan’gana
haujuwi ustaarabu unacho juwa ni kufoka na kutukana
nahivi nilivyo bubu mama kanifunza nidhamu ni kukaa kimya
sio kwamba napenda kuwa kin’gan’ganizi tatizo mazoea
nime kuzoea sidhani kama ntapona
napiga simu namba inatumika kila dakika
k_mbe ameni block ame ni blacklist amenichoka
roho inajenga sumu hata nkifika mbingu nime choka
mungu aliumba mapenzi lakini yana watu wake
wallahy namchukia k_mfahamu najutia
wallahy namchukia k_mfahamu najutia
كلمات أغنية عشوائية
- rapcha › rapcha – kama unae كلمات اغاني
- nomrah › nomrah – century كلمات اغاني
- sick sad saturdays › sick sad saturdays – miranda and her last stand in the face of nuclear war كلمات اغاني
- hesher666 › hesher666 – solevaiya tusovka (солевая тусовка) كلمات اغاني
- kings kaleidoscope › kings kaleidoscope – about to break (instrumental) كلمات اغاني
- lil driplit › lil driplit – real tales كلمات اغاني
- veggi › veggi – thinking كلمات اغاني
- eva b › eva b – ya no hay nous كلمات اغاني
- alexander kollers salvator › alexander koller’s salvator – the ariser كلمات اغاني
- steve holy › steve holy – you’re the only one كلمات اغاني