kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

xtīg£r – tuma kitu refix كلمات اغاني

Loading...

tuma kitu refix
saba gang
reffa f_ckmaina xtīg£r hitra

yo!! saba gang gang! gang gang!
reffa…. f_ckmaina!!!

[chorus : reffa f_ckmaina]
nishatuma kitu…. tuma kitu!!
nishatuma kitu… tuma kitu!! (kituu!!!)
nishatuma kitu… tuma kitu!!
nishatuma kitu… tuma kitu!!

[verse 1 : reffa f_ckmaina]
nishatuma kitu…
ati bora kitu na niko mavitu
madudu na mashada nilimarry
na mangeus nilibury!! (bury!!)
ukitemwa temeka!!
cheki sura sio make up….
na usipende bila weng utabreak up!!(break up!)
cheki! mi nadai wife… ndo akidai ninatuma tu kitu
yo cheki! wanadai kunindaha mabang’a!(mabang’a!)
kitu mbaya mi nabonda na kingwai nimetw_nga!
riba na mambuku kidato ni ngite!(ngiite!)
itabidi umechorea fom za mandihe!
ju ukidora ni upite kindom ni umedi
kigaha ni uspeenki!!(hahaha!!)
na mangeus si huwapanga na manambre tunabuti!!
na baadaye ukisleki ni hadi matwokeen!! yo!!
[chorus : reffa f_ckmaina]
nishatuma kitu…. tuma kitu!!
nishatuma kitu… tuma kitu!!
nishatuma kitu… tuma kitu!!
nishatuma kitu… tuma kitu!!

[verse 2 : xtīg£r]
cheki.. nimejiseti kwa street, bila ata compass
na looku ni freshi(ni freesh) ni kudungia convass
na kwa mburu (na waresh)x2, nawakulisha handas
na tukimezea rada tunafika jo na blunder
cheki!! ati design nimengojea hii fame…(hii fame)
ni kidesign moja nakuanga nimеchorea ngem!(mafegi)
cuz kwa hii gamе! man_gga (wako lame!)x2
mistari nagawa kwa mic wanatii madame(hahaa!)
wa campo ni watiaji (buda afadhali colle)x2
so buda tuma kitu ata fuliza iokolee
saba gang!! kimbogi tumekuja bila hodi
mistari ni kali tunamada hadi odi!
ati miss nani we ni nani vibe… na ni konki
tuko majani tuma kitu…ata ka ni za njoti(za njotii!)
cheki ngeus hio doba anaipigia magoti(magoti)
alafu nikicheki thutha n_z_gipa makofi(makofi)
tuma kitu…acha wivu…(acha wivu!!)
mi hukula paka zote ata ka ni za mach_nku(ch_nkuu)
jea!
[verse 3 : hitra]
yo! yo! cheki!
ni kunare tuko rada ya vujin’g
nikidepa tunamash na wanati
ju mbota ni 420 kam na kinaaare! (yo!)
na kimangoto ndo inachuna
tukisonga kwenye game tukispit na mayen’g
tunasnadi kwenye benk na wawen’g(yo!)
ni mabaare! mangiso! mangoto! ukidiss mbogi!
katoto ni njegi
na mii nameedi
kuchocha sipeendi
kuchoma mafegi
kuiva magode
kusuka madredi
na omollo ni thegii!

[bridge : reffa f_ckmaina]
hahaa!! yo!! na omollo ni thegii!!
cheki buda man mi nishatuma kitu…

[chorus : reffa f_ckmaina]
tuma kitu!! nishatuma kitu….
tuma kitu!! nishatuma kitu….
tuma kitu!! nishatuma kitu….
tuma kitu!! nishatuma kitu….
[verse 4 : reffa f_ckmaina]
yo!!
saba gang kimangoto si hulandi na manare!!(nare)
na mbosho si hundasu tu mangale!!(ngale)
ju kwa zabe na mamorio ni k_mash (kama nane!!)x2
na hizo fom za mabash za makali (tulisare!)x2
na mashada man mi nishamarry…(marry)
ju mi ni brathake bob marley
na tint usiku sacco sionekani(sionekani!!!)
yo! herbalist tunalike sativa…
na madiva wamevai na huiiva (na huiiva!)
na ni bash ya warasta na tuko mahandas
makatempa tunashika
na tukimezea kazogo tunafika(tunafika!)
na ukishukishia mbogi kuna venye (katashikika!)
na mabang’a wakikam tunachorea
na mamorio tunabonda!!!
yo!! tunabonda!!

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...