kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

willy paul – toto كلمات اغاني

Loading...

haa ha(pozze)_ haa
michezo yako kinasty nasty
biggy biggy heavy heavy
mama mimi napendaga
uuaaahhoo
ulivyoshona konongo nongo
ukidunga sketi alafu uname chini
unanimaliza mmh
ukifunga dera unanimaliza
michezo ya chumbani, oi nakufa
unanimaliza ooh mama
wewe ni, my sugar sukari
ulivyozidi utamu, nikuite asali
to_to_to mama
to_to toto mama
to_to_to mama
to_to toto mama
hey hey toto toto
unanimada toto ooh, hey toto
oh toto toto_oh to
hey hey toto toto
unanimada toto oh, hey toto
una siri gani hapo kwa mauno
mtoto wa salome anamwaga mpaka bone marrow
hey baby
au labda unatumia annointing oil vibaya
coz unavyorombosa kwa paja rombosa
sijawai ona
toto uko heavy nibebe bebe
nizame topeni nigware gware
si mi ndiye fundi wa kuchelewesha
bwana slow motion
na wazee wa boma
walishasema ni we mama lao
basi mi ndio baba lao
(oooh yaga yaaah)
na wazee wa boma
walishasema ni we mama lao
heeyy!!
basi mi ndio baba lao (baby)
to_to_to mama
to_to toto mama
to_to_to mama
to_to toto mama
hey hey toto toto
unanimada toto ooh, hey toto
oh toto toto_oh to
hey hey toto toto
unanimada toto ooh, hey toto
hey hey toto toto
unanimada toto ooh, hey toto
oh toto toto_oh to
hey hey toto toto
unanimada toto ooh, hey toto

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...