kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

willy paul – nimelewa كلمات اغاني

Loading...

si leo ni sikukuu, tufanye vitu kuu
boo boo baby
si leo ni sikukuu, tufanye vitu kuu (pozze)
boo boo baby
naita kina jaguar
naita kina joho na sonko
walete madoh
mi nimelewa
kwa mapenzi yako mi nimelewa
baby mi nimelewa
kwa mapenzi yako mi nimelewa
ooh baby
ukiniguza kwa mwili na vaporate, mmh
umenichanganya changanya
akili ime_saturate
sikuwahi jua
kuna mapenzi ya kweli mama
until nikakupata
ooh i thank the father
baby mi nimelewa
kwa mapenzi yako mi nimelewa
baby mi nimelewa
kwa mapenzi yako mi nimelewa (ooh, eeh)
uki_smile baby girl hako kadimple
unafanya mi nafall tu vi_deep so
mapenzi yako tamu yaani sweet oh
unafanya mi nafall tu visimple
baby niko gauge, niko maji
ndani ya mapenzi
mi baby niko gauge, niko maji
sitaki story ya mambogi
baby mi nimеlewa
kwa mapenzi yako mi nimelеwa
baby mi nimelewa
kwa mapenzi yako mi nimelewa
physically, wacha nikupende mnyama mkali
baby manjigi (manjigi, manjigi)
nyumbani kwetu tu ni gwiji, eeh (gwiji, gwiji)
hey girl
i cannot get enough of you, oh
na hata nikidunda
i’m falling for you
baby mi nimelewa (nimelewa oh)
kwa mapenzi yako mi nimelewa (lewa oh oh)
baby mi nimelewa (lewa oh)
kwa mapenzi yako mi nimelewa (lewa oh)
nimelewa, bila wewe siwezi
nimelewa, ooh cherrie
nimelewa, bila wewe siwezi
nimelewa, ooh mpenzi
nimelewa, bila wewe siwezi
nimelewa, ooh cherrie
nimelewa, bila wewe siwezi
nimelewa, ii (ooh)
nimelewa (ooh ii, maiya)
nimelewa (ooh iii, maiya)
nimelewa (ooh ii, maiya)
nimelewa (ooh iii, maiya)
nimelewa (ooh woah, oh aiya)
nimelewa (oh ooh, woah ooh, woah oh)
(teddy b)
nimelewa (lewa, lewa)

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...