kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wanavokali – dunia كلمات اغاني

Loading...

nihurumie
siku na miaka zapita na sijafika kule
nilitarajia niwe maishani

ndoto zangu zimekwamia njiani

dunia
nihurumie
siku na miaka zapita na sijafika kule
nilitarajia niwe maishani
ndoto zangu zimekwamia gizani

nihurumie
siku na miaka zapita
na sijafika kule
nihurumie

nihurumie
siku na miaka zapita
na sijafika kule
nihurumie

ujana
ujana ni moshi
kuna mengi ya kufanya ila muda hutoshi
ningepaswa niwe na mke nyumbani
ila mali ya kulipia mahari siwezi

ujana
ujana ni moshi
kuna mengi ya kufanya ila muda hutoshi
ningepaswa niwe na mke nyumbani
ila mali ya kulipia mahari siwezi

nihurumie
siku na miaka zapita
na sijafika kule
nihurumie

nihurumie
siku na miaka zapita
na sijafika kule
nihurumie

mama
nisamehe mama
mimi si yule uliyedhani atalea mwana
ulitarajia niwe mke nyumbani
lakini mambo yamebadilika duniani

mama
nisamehe mama
mimi si yule uliyedhani atalea mwana
ulitarajia niwe mke nyumbani
lakini mambo yamebadilika duniani

nihurumie
siku na miaka zapita
na sijafika kule
nihurumie

nihurumie
siku na miaka zapita
na sijafika kule
nihurumie

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...