kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wakadinali – x bosses كلمات اغاني

Loading...

[hook: domani munga]
my x bosses siku hizi wana_call my phone
siku hizi unaringa sana
my x bosses siku hizi wana_call my phone
siku hizi unaringa sana

nak_mbuka nikiwa baze time flani
zilikuw_nga siku za maajabu
nak_mbuka nikiwa jaba time flani
zilikuw_nga siku za maajabu

[verse 1: domani munga]
mama uhuru sisi ni mahuru na anajua
hizo game mbaya na tun_z_jua
mbunge wa mhaya ananijua
sisi huendea stock kukuwe mvua au jua
pullup kwenye upblocks, boyz ndani ya .44s
chunga usindunge kwenye portal
munga unakuja na ma_glock jo
odi wa murang’a alikushow
niko na craving ya kagoks jo
arif alikatazangwa na mokoro
kutembea na mimi is a no_no
nili_receive transaction
ka kitu kadogo us toka kwa morio
arif ananidrip magoro, ati dosh kula hiyo tommorrow
akili silly siko greasy looking kinda busy
hii ni hiliki hii ni pilipili hailiki
[hook: domani munga]
my x bosses siku hizi wana_call my phone
siku hizi unaringa sana
my x bosses siku hizi wana_call my phone
siku hizi unaringa sana

nak_mbuka nikiwa baze time flani
zilikuw_nga siku za maajabu
nak_mbuka nikiwa jaba time flani
zilikuw_nga siku za maajabu

[verse 2: mic 1 eazy]
okay real recognize real
tukipatana huw_nga feeling kinda big deal
mambo grand kazi kama kawa tena big lit
iller than most wasee wajawaitisha sick leave
nikisambaza una_soak, nikicheki time nishaku 3 nil
na ka ni approach we tu kam ka unafeel free
shika maganji tushike madem au tununue mali
kuishi na regrets k_mbuka the days utalilia nani
now catch me in the benz
unadhani ni keroma sikunywi lejo
nataka kupiga simu shika phone sikosi kredo
unasema nimechange ati “mic eazy uko na mapetho”
coz i be my own boss, nikik_mbuka kuishi vi_ghetto
k_mbuka nikiwa alone nikiandika
hizi flows tutapachika hizi shows tutachachisha
hey everybody getting down in the party
mambo grand wakadinali, mic 1 got to look
[hook: domani munga]
my x bosses siku hizi wana_call my phone
siku hizi unaringa sana
my x bosses siku hizi wana_call my phone
siku hizi unaringa sana

nak_mbuka nikiwa baze time flani
zilikuw_nga siku za maajabu
nak_mbuka nikiwa jaba time flani
zilikuw_nga siku za maajabu

[verse 3: scar]
ey siko nai niko odhumo
uh ju ladha huku ilirumo
bado bado rong rende pale umo
natoanga usoo nikichomanga mugumo
sina was mi sipangii masiku
msupa ame_catch ju silambagi hiyo kitu
iwe jua ama mvua sina issue
wananijua mi nikiwa mabangi ni ma big tune
we si bro we ni nephew
na kama huamini hii rende ni rong n_gga f.u
nak_mbuka x bosses wakinitolea stress yote
mi na hustle excess na si_take losses
unapigwa ‘shhh’ bare hapa hatu_take nonsense
ushai bambwa na wife anaexpect mtoke?
bro alimadwa na matha alikuwa anamexpect shoke
[hook: domani munga]
my x bosses siku hizi wana_call my phone
siku hizi unaringa sana
my x bosses siku hizi wana_call my phone
siku hizi unaringa sana

nak_mbuka nikiwa baze time flani
zilikuw_nga siku za maajabu
nak_mbuka!

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...