kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wakadinali – balaluu كلمات اغاني

Loading...

[intro]
pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha

[chorus: domani munga]
tire ndaksus na kanyamo
pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha
ndula ni matisha na ni mtush
folks na fam hawaezi niangusha (zoeea, zoea)
ukichachisha mbogi itapotea (zoeea, zoea)
hata ukinibondea siezi kusotea
tire ndaksus na kanyamo
pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha
ndula ni matisha na ni mtush
folks na fam hawaezi niangusha (zoeea, zoea)
ukichachisha mbogi itapotea (zoeea, zoea)
hata ukinibondea siezi kusotea
[verse 1: munga domani]
leta ujinga tubeef for real, i’m not vegan i’m gluten_free
mi si mjeru ati “guten morgen”, kutwa morning mi mjehuri
inzagi goshodo huko balaluu, ishidi mastingo kama waru
gang imelandia tusupuu, bangi imelandi matawi ya juu
i’m sorry ile last time, kweli nlikukosea but it will happen again
chocha ye mrasa mbona alipotea?, bahati tu manze ju angemblein
pori ingekuwa disaster, habari ya kujikojolea, lia lia
fikiria, complain, meno 32 and then umaintain
burushwa kanairo must unaimunch
ama utanyonywa damu kama onyanch
story za ovyo, mi huw_nga na branch
mwanaume, haufai kukula lunch
wach, mziki ni bizna, wе, ndo inanilipa
album stray inapita, nawakandamiza
niko daily mboka niko mzozo, sispendingi ati zile za unyonge
mdеnge kama ni bonzo, ni mshiet, ni shonde
domani vako za mavoglo, mapenzi acha hapo nje
dem akinona ovyo ovyo, mpee simu apitie akonde

[chorus: domani munga]
tire ndaksus na kanyamo
pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha
ndula ni matisha na ni mtush
folks na fam hawaezi niangusha (zoeea, zoea)
ukichachisha mbogi itapotea (zoeea, zoea)
hata ukinibondea siezi kusotea
tire ndaksus na kanyamo
pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha
ndula ni matisha na ni mtush
folks na fam hawaezi niangusha (zoeea, zoea)
ukichachisha mbogi itapotea (zoeea, zoea)
hata ukinibondea siezi kusotea
[verse 2: scar mkadinali]
si hatutoki na tunaharibu (zoeea)
nikuje na doskii ama ni akimu (zoeea)
msupa wako akiwa na mimi an_z_ma simu (zoeea)
kivela lazima kiwake hata kiwe illegal (zoeea)
yo, yo, yo
ukiskia bro amenikamia home, jua hio form ni erokamano
msupa mbona una haga bigi na hauna ganji umekalia doh
muite “kss kss”, kamia form, tei ni zote mchanganyo
tire ndaksus na kanyamo, hataki umdishi we ni kama bro
jaba fresh kariokor, mkwanja kesh hapana joke
anatext text, flash, text, text, flash, block
kwani tunaulizana? bei ya ngataa inaumiza mans
bado wanachocha mavijanaa, hawabongi whenever scar is around
vibare, hatuezi reason nao, maforeign washanga hizo loud
ndai stolen, b_tch ni wa colle, wanadai muone ash_ga tupa mbao
itankinda na aroma inatupa
tire anachimba inanichoma makucha
kusoma unasoma unatokea juja
unachoma unachoma unapoteza future

[chorus: domani munga]
tire ndaksus na kanyamo
pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha
ndula ni matisha na ni mtush
folks na fam hawaezi niangusha (zoeea, zoea)
ukichachisha mbogi itapotea (zoeea, zoea)
hata ukinibondea siezi kusotea
tire ndaksus na kanyamo
pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha
ndula ni matisha na ni mtush
folks na fam hawaezi niangusha (zoeea, zoea)
ukichachisha mbogi itapotea (zoeea, zoea)
hata ukinibondea siezi kusotea
[verse 3: sewersydaa mkadinali]
yo, yo, yo
allow me kwanza nijiintroduce, loudest kushinda pastor kush
essence aliona burning bush, k_mbe ni mwere anaiva kistuch
si ndo tulimndasus kwa boot, managerr managerr managerr my foot
east joh nimejaza magoons, watokee na senke matokeo utashtuka
too bad huezi nijua, too bad mpaka unabuya
“who’s that?”, mwambie ni sewer
giz jana kuliwaka mvua
generation yao ni ya sheesha, unawacompare na si wa kuvuva
umeshinda ukintoanisha sijui za fare na sijai kukula
naserve tea asubuhi, kuna watu hawaezi ishi bila rumor
kwani hamcheki funny venye nyi hamna sense of humor
vumilia kaa inakuuma, k_ma isikufanye mtumwa
train ya drill hapa si boomba, vegan nilienda full ham
samo ya street piga tapo, ’sionyeshe keja labda lojo
momo ametoka pango, ambieni corporal nimeramo
yo, m_f_ toka form four, aha, yo, m_f_ toka f___ ____

[chorus: domani munga]
tire ndaksus na kanyamo
pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha
ndula ni matisha na ni mtush
folks na fam hawaezi niangusha (zoeea, zoea)
ukichachisha mbogi itapotea (zoeea, zoea)
hata ukinibondea siezi kusotea
tire ndaksus na kanyamo
pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha
ndula ni matisha na ni mtush
folks na fam hawaezi niangusha (zoeea, zoea)
ukichachisha mbogi itapotea (zoeea, zoea)
hata ukinibondea siezi kusotea
tire ndaksus na kanyamo
pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha
ndula ni matisha na ni mtush
folks na fam hawaezi niangusha (zoeea, zoea)
ukichachisha mbogi itapotea (zoeea, zoea)
hata ukinibondea siezi kusotea
tire ndaksus na kanyamo
pira ni pyamu na ndranya mbrrrcha
ndula ni matisha na ni mtush
folks na fam hawaezi niangusha (zoeea, zoea)
ukichachisha mbogi itapotea (zoeea, zoea)
hata ukinibondea siezi kusotea

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...