kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wachuja nafaka – wachuja nafaka كلمات اغاني

Loading...

wachuja nafaka _ wachuja nafaka

[intro: kr mullah & wachuja nafaka]
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
ujio tunaokuja’ haki ya mungu mtadata
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
mwendo tunaokuja’ haki ya mungu mtajisaka
na hivi ndivyo visa vya kr (eeh!)
na hivi ndivyo visa vya d_ chief (aah!)
na hivi ndivyo visa vya nature (eeh!)
na hivi ndivyo visa vya dollo (aah!)
na hivi ndivyo visa vya khalfan (eeh!)

[verse 1: kr mullah]
niite kr’ mzee wa kw_ngu kwako tano
haina mfano, “tariro”
nipige nikupige’ ole wako uige
nyendo za masela hatuf_gilii jela’ labda hela
huamini muulize said fella
picha linaanza stelingi wa kike anakufa kwenye maua
leo tupo hapa hapa’ kwa ajili ya wale watu wote wanaojishaua
ni watu wa kula shazi, bazazi tuna mwaga radhi
kanuni yetu ni ile ile baba,hatutaki leo korosho
porojo, mpe mkojo
muongeze,muongeze akija mkoleze
(?) wa mwituni utamaduni
hatukuchapi kwa fimbo’ tunakuchapa kwa kuni
hizi ndo kanuni zetu toka ‘awali
watu wa ugali’ sasa’ kaa mbali na hizi sura
dollo,nature, kr mulla
khalfani nyonga vitu__mwaga ma vitu
watu wajidai’ masharabahi
ebo! utaniudhi…
[beat suddenly stops and continues…]
[chorus: juma nature & wachuja nafaka]
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wa_wachuja nafaka,( kw_ngu kwako tano!)
wa_wachuja nafaka, ( (?) na mfano!)
wa_wachuja nafaka,(mkali huu mpambano!)
wa_wachuja nafaka,(mpaka unatadata!)

[verse 2: dollo]
(?)
p funk khalfani
mabingwa wa ku (?) kutoa nishai
kw_ngu’ kwako
kw_ngu’ kwako, tano!
pasipo mfano’ kusema mtasema lakini mwisho wake mtachoka
wachuja nafaka’ moto ndo unawaka
hii homa mtawaza, mtaishia, mtajikaza
watu wa kale’ toka mishale…r!
watu wa kale toka mishale
chochea kuni (?) mziki wa chang’aa
dollo, sir naturе, kr’ mijitu ya ku(?) he he! vagaranti viwanja vya kati
nywelе za ki_somali, kwa ajili ya pombe kali
kimpumu, konyagi mwitu’
zote zinapatikana hapa hapa
kwa mama muuza…
[girl moaning: “you make me feel so good…]

[chorus: juma nature & wachuja nafaka]
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wa_wachuja nafaka,( kw_ngu kwako tano!)
wa_wachuja nafaka, ( (?) na mfano!)
wa_wachuja nafaka,(mkali huu mpambano!)
wa_wachuja nafaka,(mpaka unatadata!)

[verse 3: juma nature]
” ting_ting_ting_ti_li
kating_ting_ting_inya”
ting_ting_ting_ti_li
kating_ting_ting_inya”
ting_ting_ting_ti_li
kating_ting_ting_inya”
“ting_ting_ting_ti_li
kating_ting_ting_inya”
nani kamfinya?
michael king (?) ‘ mzee wa mojamoja mwendo “mchurundu_ndu”
a.k.a. mif_ko haina kitu_tu
soggy di doggy doh
hana hana hana hana hana hana hana dough
mnataka kututokomeza ‘tu bado
hivi nyie waheshimiwa vikao vyenu mbona ha vijatuwakilisha?
au kwa kuwa sisi vijana ndo mnaghahirisha?
au bado mnaleta zile zenu za kututisha?
wachuja nafaka’ muelewe ndo wenye (?)
kw_ngu’ kwako tano!
hiii..! pasipo mfano
naona hii hali sasa inaleta mapigano
we uza pipi (?) njungu (?) uwe sugu
na hapo ukiangalia watu wa porini’ wana machungu
(?) bandugu wana mwomba mungu
kr, d_chief,dollo’ ka temeke ugoro
unga ghetto umekwisha’ tunatoa kiporo
sioni kama kuna bwege ambaye atatoa kasoro
hebu mpe tano
…”k_m_k_m!” utaniudhi
bana we, sasa tumeghahiri’ na wala hatupendi k_mfatilia wakili
tunayaacha kama yalivyo>> hivyo hivyo
sisi ngano tu (fujo tu!)
na’ tukishalewa tu (fujo tu!)
tuki_approach demu,akikataa…!
tunaongeza (?) kidogo tu ili awe sawa
haina (?) sana (?) mtoto…mkufunzi!
sasa k_mbe ninyi mtaniudhi
[guys cheering]
[girl moaning:]

[chorus: juma nature]
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wachuja nafaka!
wa_wachuja nafaka,( kw_ngu kwako tano!)
wa_wachuja nafaka, ( pasi kuwa na mfano!)
wa_wachuja nafaka,(mkali huu mpambano!)
wa_wachuja nafaka,(mpaka unadata!)

[instrumental]

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...