kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ukoo flani mau mau – mazishi ya polisi كلمات اغاني

Loading...

[intro: zakah and kamaa]
chiz’n brain… ndani ya beat (ahaa.. ahaa..)
extortion… zakah, kamaa… mau (ahaa.. ahaa..)
ukoo flani
1,2 explosion (ahaa.. ahaa..)
uk_ double_o mau mau
uk_ double_o mau mau

[hook: zakah]
hata walete wizi kwa kazi, tunawaandalia teachings mezani
tangu enzi za nyatiti, zamani, wanajua sisi ni nani
sikufichi utadhani ni mazishi ya polisi mitaani
ni mazishi ya polisi mitaani

[verse 1: kamaa]
…ya polisi mitaani
tangu era za kamjesh mpaka era za chavez
mwiraria anasema hakuna dooh
yote ilimalizwa na moi na kamlesh
michuki anasema mishipi tu_fasten
si unajua si huwa hatuzihitaji, si hu_fly na ma_carpet
tuki_hustle ma_cd na ma_cassette
the bigger the debt, tuliambiwa na krs, the bigger the budget

[verse 2: zakah]
yes rasta!
tufunze ghetto manifesto (sellasie!)
harufu ya tension, kunuke jasho
venye na_struggle
sabuni ya bar soap, nguo za donors
bado utaniona gari za first class
maliza njaa fast, punguza ulcers
miili na plastеrs
[hook: zakah]
hata walete wizi kwa kazi, tunawaandalia teachings mеzani
tangu enzi za nyatiti, zamani, wanajua sisi ni nani
sikufichi utadhani ni mazishi ya polisi…

[verse 3: kamaa]
who got what, mau camp got sending you back to the 50’s
uta_resist ama uta_collaborate na british?
“twisty” na akina daudi kabaka in the 60’s
ina_go way back before wanaume wakuwe mabinti
na wanajidai ma_soldier saa na ya vita watakupita
watakukana mara tatu jogoo ikiwika
mjinga hufundisha simba kuwinda
mjinga huudhika na maandishi naandika
ye huwa anatambulika akiwa amejificha kwa giza
simama kama pyramid, usi_lean ka tower ya pisa
hawa si ma_mc, hawa ni maseki
lyrics zao ni minutes za event tuli_dictate, wana_imitate
nikazaliwa ’78, kenya ikagongwa na earthquake
si concidence ku_nickname_iwa githingithia ’98

[verse 4: zakah]
inshallah kuwa focused
as far as squad wametoka
kila kibanda huw_nga imechoka
kila kijana huw_nga amekonda
kila mtaa huw_nga na informer
bila zakah hakunanga importances sanaa kwenye posters
hutanikosa kwa concerts zile conscious
tupwa cemetery na mistari legendary, tembe kali
(ah… ah… wacha, wacha, wacha…)
yeah yeah!
[hook: zakah]
hata walete wizi kwa kazi, tunawaandalia teachings mezani
tangu enzi za nyatiti, zamani, wanajua sisi ni nani
sikufichi utadhani ni mazishi ya polisi mitaani
ni mazishi ya polisi mitaani

hata walete wizi kwa kazi, tunawaandalia teachings mezani
tangu enzi za nyatiti, zamani, wanajua sisi ni nani
sikufichi utadhani ni mazishi ya polisi mitaani
ni mazishi ya …
ni mazishi ya …
ni mazishi ya …
ni mazish_ ni mazishi ya polisi mitaani…

[outro]
chiz’n brain… ndani ya beat (ahaa.. ahaa..)
extortion… zakah, kamaa…

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...