kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

tuphy – tamba كلمات اغاني

Loading...

in your eyes, i have seen my future
nashangaa nikikufuata una unanitupa
nakupa upendo mama unaususa
mbona hauna huruma majini umenitosa

kama boda boda panda iyo iyo
j_po sina kitu tamba ivyo ivyo
kama kibajaji panda ivyo ivyo
j_po sina kitu tamba ivyo ivyo
i believe hili penzi ni faida
huu upendo siyo kawaida
nataka nikae nawe
angani nipae nawe
kama horse girl you’re my rider
in my world girl you’re my tighter
nataka nikae nawe
niienjoy nawe
crazy
i’m crazy for you
ah crazy
i’m crazy for you

au unacheza na moyo w_ngu tu_tu
au unataka nilie sema su_su
i have never been a victim of love before
we si ulisema utanipenda niliyvo

kama boda boda panda iyo iyo
j_po sina kitu tamba ivyo ivyo
kama kibajaji panda ivyo ivyo
j_po sina kitu tamba ivyo ivyo
i believe hili penzi ni faida
huu upendo siyo kawaida
nataka nikae nawe
angani nipae nawe
kama horse girl yo my rider
in my world girl yo my tighter
nataka nikae nawe
niienjoy nawe

crazy
i’m crazy for you
ah crazy
i’m crazy for you

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...