kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

top band – nilikataa كلمات اغاني

Loading...

[intro: q_chief]
oy, oy

[chorus: t.i.d. & q_chief]
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali we
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali we
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali

[verse 1: t.i.d.]
oooh
walisema demu w_ngu kwamba wewe kicheche
oooh
magari ya kifahari yanakupa mawenge
oooh
k_mbuka mapenzi yangu hakuna zaidi ya wewe
oooh
maneno mengi hayavunji mfupa
maneno ni mengi, mwenzio siwezi
usingizi sipati
najuta mapenzi, kupenda sitaki tena unanipa wazimu
maringo ni yako, yananipa ‘wakati
wakati huu…
sasa mimi, ‘nimekubali we…
[chorus: t.i.d. & q_chief]
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali we
(oh, oh)
nilikataa, nilikataa
(nimekubali, stop)
sasa nimekubali we
(no, no)
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali
(aye)
nilikataa, nilikataa
(nimekubali)
sasa nimekubali

[verse 2: q_chief]
oooh
unajifanya mjanja
oooh
k_mbe bonge la mshamba
oooh
unadaka mikwanja
oooh
k_mbe demu wa viwanja…
ghetto usijе, demu mapepe, full kichеche
(oh_oh)
jikatae, usepe
najuta kupenda, ulishanitenda
(yeah)
uliniacha mi mpweke
ukisuburi niteseke
kina fulani wanicheke, darling
yeah, yeah…
[chorus: t.i.d. & q_chief, mr. blue]
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali we
(oh, no)
nilikataa, nilikataa
(oh, yeah)
sasa nimekubali we
nilikataa, nilikataa
(hey, hey, hey)
sasa nimekubali
nilikataa, nilikataa
(ah)
sasa nimekubali
yeah, what?
uh
sikia, let’s go

[verse 3: mr. blue]
love imegeuka glass, ma, ‘tugonge cheers
silipi kisasi, na’ nitatoka tears
bora ingekuwa risasi, umeni_shoot ‘nishajifia
ila ma, ‘inani_pain, basi navumilia
mbona mi nasikia, ‘halafu una bullsh_t (sh_t)
watu wananiambia, ‘naona wazushi
kama meseji imefika, ma’ please hit back
w_ngu malaika, ‘una feel this track?
niko mi na t.i.d., ‘tunalia every day
hata kula sijiskii, muulize hata master jay
niko tu ‘zangu ghetto, nakuwaza kila saa
naona kama wanabana, waki_shine na kachaa
ma, ‘ukiwa haupo naku_miss
ila siamini nikiondoka unani_diss
na, ‘taka tuishi kwa peace
miss, mi niamini kukuacha sio rahisi
[chorus: t.i.d. & q_chief]
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali we
(oh, oh)
nilikataa, nilikataa
(nimekubali, stop)
sasa nimekubali we
(no, no)
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali
(no, no)
nilikataa, nilikataa
(nimekubali)
sasa nimekubali
oh,oh
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali we
(oh, yeah)
nilikataa, nilikataa
(oh, no)
sasa nimekubali we
(oh, yeah)
nilikataa, nilikataa
(oh, no)
sasa nimekubali
(hey, hey, hey)
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali, we
(oy, oy, oy)

[outro: q_chief & t.i.d.]
sasa nimekubali
aye
(oy, oy, oy)
nimekubali

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...