timmy tdat – achika كلمات اغاني
eeeh, eh nang’o
ttt__en nang’o
me addi silent k!ller en nang’o
jo kasabun apenjoga ni yawa en nang’o
ukiachwa gal achika tu
ukiachwa, we achika tu
ukiachwa gal achika tu
ha! we achika tu
achika tu, achika tu, achika tu
achika tu, achika tu, achika tu
achika tu, achika nani, achika tu
achika tu eeh, achika tu
usiniite tukate maji gal, niite tukate cheque
kush nilisare, ata tracy ndo hutext
nina body poa naeza shinda ata na vest
ka ulinicall sikupick si unaeza text
acha hizo tabia za ku_call magizani
ukiniendelea utanivunjia keja
nina mtoto dem mi nangoja kijana
nitakukol magethaa
eeh ati sikuwahi jua nitafall like this
wewe ukiflirt mi nafeel kama dis
me niko, they don’t feel like me
ndoa ulivunja iko vip girl
ukiachwa gal achika tu
ukiachwa, we achika tu
ukiachwa gal achika tu
ha! we achika tu
achika tu, achika tu, achika tu
achika tu, achika tu, achika tu
achika tu, achika nani, achika tu
achika tu eeh, achika tu
kwa mapenzi nilizama(with you)
tenda wema nikaenda zangu dai(ningеdu?)
sileti maua atupige sama
ebu ka haujashika iokote basi(maua sama)
hanipi hеad, ju anipa mpaka brain
baby choke me naleta mpaka chain
hii ni yake solo, haiwezi kwenda chain
sio comedian ufala, hawezi entertain
ati vitu zangu addictive manze huwezi live without
amesahau akitoka si ali_leave without
aah vile alikuwa anashout
sai mpaka ashavunja bed, tupate kwa couch
ukiachwa gal achika tu
ukiachwa, we achika tu
ukiachwa gal achika tu
ha! we achika tu
achika tu, achika tu, achika tu
achika tu, achika tu, achika tu
achika tu, achika nani, achika tu
achika tu eeh, achika tu
ati,k_mbe una sponsor na huniambii
k_mbe una cheza na huniambii
k_mbe haunipendi na huniambii
wapi mjuniour na mwaga ndani gyal?
eh huniambii
k_mbe una sponsor na huniambii
k_mbe unacheza na huniambii
k_mbe haunipendi na huniambii
wapi mjuniour na mwaga ndani?
ndoto yako by the way utaniota
stori zangu utazipeleka reporter
relax, nitakualika baby shower
(vicky pon dis)
kubali we ni ex
kubali we ni ex
kubali we ni ex
kubali we ni ex
kubali we ni ex
kubali we ni ex
kubali we ni ex
kubali we ni ex gyal!
sawa nimekubali mi ni ex
lakini ex ya darasani tu
ngonja nikatafute ka baby kapya
we unanizururisha hapa
sikutaki na mimi!
ati kubali we ni ex
mi sio ex, we ndio ex frame
كلمات أغنية عشوائية
- nittdagritt › nittdagritt – r.e.a.l كلمات اغاني
- remi › remi – hate you كلمات اغاني
- thaide › thaíde – vida كلمات اغاني
- sam himself › sam himself – out of love كلمات اغاني
- bonsoul › bonsoul – czarny pr كلمات اغاني
- youtunes › youtunes – j’vais vous pecho (parodie) كلمات اغاني
- yung davi › yung davi – trippin scare كلمات اغاني
- lirika inverza › lirika inverza – inefable كلمات اغاني
- wendy seul gi › wendy & seul gi – 밀지마 (don’t push me) كلمات اغاني
- skerdi › skerdi – m’ mungu كلمات اغاني