the nine c – penda jirani كلمات اغاني
Loading...
acha fitina
acha kuteta jirani yako ndugu yangu
kwa sababu shida iki kupata
yeye ndiye ataku sahidiya wa kwanza
oooh ooh
mungu anasema
penda jirani
penda jirani
acha chuki acha uongo
ina leta matenganyo kati jirani
tafuta masikilizano
oooh ooh
mungu anasema
penda jirani
penda jirani
mwenye anapenda ndugu yake
ana ishi katika mw-ngaza
ooh oh
uta sema jee una penda mungu
kama una chuki kwa jirani
oooh ooh
mungu anasema
penda jirani
penda jirani
wewe ambae ume pata neema
yaku sikiya mwimbo iyi badirika
ukisha mpenda
ata kama yeye aku pendi
uta barikiwa na mungu
penda jirani jinsi unaji penda
timiza neno la bwana mina kuomba
usi chunge wakusifu kwa unacho tenda
penda kwa ukweli popote unapo enda
كلمات أغنية عشوائية
- louise goffin › louise goffin – saved by the bell كلمات اغاني
- louise goffin › louise goffin – geisha girl كلمات اغاني
- louise goffin › louise goffin – if you ever did believe كلمات اغاني
- louise goffin › louise goffin – might as well pass by كلمات اغاني
- louise setara › louise setara – love me still كلمات اغاني
- louisianas leroux › louisianas leroux – new orleans ladies كلمات اغاني
- louise tucker › louise tucker – midnight blue كلمات اغاني
- feat jay love louis logic › feat jay love louis logic – pimp shit (feat. jay love) – louis logic كلمات اغاني
- louis logic › louis logic – idiot gear كلمات اغاني
- louis logic › louis logic – dust to dust كلمات اغاني