kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

the eastern bandits – you’re my morning smile كلمات اغاني

Loading...

ahhahaha
they call me dman
eastern bandits
whatsup whatsup quartzy

cheki hawatuoni tuoni hawatuoni tuoni
kwamba leo napiga honi honi in the morning morning
cheki hawatuoni tuoni hawatuoni tuoni
kwamba leo napiga honi honi in the morning morning
you’re my morning smile i’ll never let you go
you’re my one and only and i want you to know
you’re my morning smile i’ll never let you go you’re my one and only and i want you to know

sitaki niko vibe niko bedroom
nataka pande flani mambo flani bumbum
na vile niko deep na hilo bumbum
hizi stimu zikate humuhumu
ah you’re my next door super learner
na vile mama upo shallow tina tina
na kwa bed we ni murderer sio learner
ah nakutaka tenatena
wе mafuta me na gia nakanyagia
we ni moto me ukuni nachochеa
we story shilawadu nanyapia
ka ni povu me funguzi natatua
you’re my morning smile acha vile unavyowind
so take ila number one mamy
let’s shine mpaka jua lich0m_ze kama lina niko radhi
nakukuna nikonyeze nipe hisa niwekeze
you’re my one in a million thamani yako hawaioni
kw_ngu zaidi ya tilioni yani wife material
cheki hawatuoni tuoni hawatuoni tuoni
kwamba leo napiga honi honi in the morning morning
cheki hawatuoni tuoni hawatuoni tuoni
kwamba leo napiga honi honi in the morning morning
you’re my morning smile i’ll never let you go
you’re my one and only and i want you to know
you’re my morning smile i’ll never let you go you’re my one and only and i want you to know

nataka niweke hisa tujenge maisha nikiwa nawe boo
sihitaji kina jolisa makina malisa nakutaka wewe tu
nataka daily kukikucha nikitupa shuka nikuone wewe tu
me na we tuijenge future isiyovunjika ya milele boo
hatutojali wakiteseka hawajui wapi tumetoka j_pokua hatujopata
amini bado tunasaka you my bae big chatter
napenda unavyonikamata vipi navyokuk_mbata mixer nnavyokupakata
mpaka mornie mornie my baby we nibebe nikubebe
alikotu kule tubebe j_po life la kibabe

you’re my one in a million thamani hawaioni
kw_ngu zaidi ya tilioni yani wife material
you’re my one in a million thamani hawaioni
kw_ngu zaidi ya tilioni yani wife material

cheki hawatuoni tuoni hawatuoni tuoni
kwamba leo napiga honi honi inthe morning morning
cheki hawatuoni tuoni hawatuoni tuoni
kwamba leo napiga honi honi in the morning morning
you’re my morning smile i’ll never let you go
you’re my one and only and i want you to know
you’re my morning smile i’ll never let you go you’re my one and only and i want you to know

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...