kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ssaru – dea moda كلمات اغاني

Loading...

[verse 1 ]
uh first time ulinichekingi kwa mbulu
najua ulishtuka hadi ukapiga nduru
uko surprised ati ssaru ndo huyu
wakati ulinicheka juu nikona katululu
unajifanya umekuja kw_ngu kuzuru
nasi tunakuja buda joh we ni kunguru
unahate unajifanya we ni guru
na mi nikikucheki nakuona ka kalulu
huu ka kalulu mi na roll na uhuru
uko kwa ngori bado mi na kunusuru
mashallah! naogopa kukufuru
huyu ni mungu bado ananiweka tu kwa nuru

[chorus:ssaru]
aah mtu ako huru saa nipate buru
wataka kucheka juu uko class ya gumbaru
aah mtu ako huru saa nipate buru
wataka kucheka juu uko class ya gumbaru

[verse :2 ]
ka we ni rapper joh buda kaa rada
juu ka niko around mi ndo huw_nga komanda
niko hapa nimekuja ku murder
na venye mi natema nakuonanga mshamba
rende ni less haipiti mtu saba
ka ni kuadisia adisia to our mother
hao wengine ni watoto wachanga w_n_lalanga sana mpaka wanavunja kitanda
kaa niko lit nakujanga kama mw_nga
hii ni kali utachase tu na waba
nipate base nikuseti tu mawada
mi ni mless na napendanga aay,aay tew
bom hii ni team ya wakanda
hatubagui joh kuna mpaka wakamba
hakuna mtu anamind bro we tamba
kaa ni luku daily si hudunga pamba
hizo mechi wananiita dea moda
nilik_mbuka sitaki kurudi moshatha
umelegeza na nakuja kuwakaza
saa ukini diss story zishafika tanga
[verse:2]
wewe mnafik na unajifanya rafik
saa yenye nakuhitaji unadai umekwama kwa traffic
wanafaa kutense juu nimegundua tactics
sitaki hizo mapenzi zenu fake nikiwa love six
skiza baby boss nikupee penzi la uduu
mi nishalegeza njoo ni bebe juu juu
[…………………………]
we ndo huwa unafanya roho ndo inadunda dudu! aah
tuma fire sina ganji nadi purse
wako mie mi na bend down di[?] gyal
adi teacher kwenye film mi na [ ? ]
rap mi na say thats the rule non spot
saa nimefika nimekuja kuwa replace
adabu zao joh ni kama wali misplace
zangu ninazo sasa cheki niko [ ? ]
am the baddest kwa game nipee respect
am the baddest kwa game nipee respect

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...