kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sir yongo – hurulaini (feat. fo’real beatz) كلمات اغاني

Loading...

[intro]
it’s sir yongo!
eh eh!
eh eh, eh!

[verse 1]
baby wacha n’nene (wacha n’nene), nakupenda sana
baby wacha n’seme (wacha n’seme), nakupenda sana
naeza fanya kitu chochote, kwa ajili yako
naeza fanya
ashizo baby
malavidavi nikupee, baby
penzi la dhati

nimekuchagua, naamini unanipenda
penzi nikaamua, sitoweza kukutenda
huba ni maua, harufu tamu imetanda
vile wanitambua, nitazidi kukuganda

[chorus]
nakuona wewe, kama hurulaini
nimekuhifadhi, mw_ngu mtimani
nakuona wewe (eh eh!), mwenye thamani (eh eh, eh!)

[verse 2]
baby wacha n’nene (wacha n’nene), nakupenda sana
baby wacha n’seme (wacha n’seme), nakupenda sana
naeza fanya kitu chochote, kwa ajili yako
naeza fanya
ashizo baby
malavidavi nikupee, baby
penzi la dhati
mtoto mwenye figa, ninajua ulivyoumbika
sura wanaiga, kimwana umehulukika
madaha kama twiga, nikikuona nabambika
vile wanipendaga, kwako baby nimeshika

[chorus]
nakuona wewe, kama hurulaini
nimekuhifadhi (nimekuhifadhi), mw_ngu mtimani (mw_ngu mtimani)
nakuona wewe (nakuona wewe), mwenye thamani (baby una thamani)
katu sitoweza (sitoweza, baby), kukutupa chini (aaah!)

[outro]
ashizo baby

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...