scott montana – my life كلمات اغاني
intro
(mmmh mmmmhh mh mh!)
ahh!
verse 1
nimejichangachanga kujipa amani
nitatoboa lini kwenye hii safari
mikasa na nyota ya konda
madrama yapoteza muda
mapema asubuhi niko studio
naimba inster nikiskiza mario
siunajua sifatii kiki
ila mambo yatatiki
nikalelewa na baba wa kambo
nikajifunza na life ya gamble
kitaa kikatambua mi kaa rambo
nikazana nikazama kwa pango
ouhh
bridge
wakataka nisipone
waganga wakashika chonde
aahh
hata maji nani kosee
nayo roho wakaichomaa
nakifo na kikaumana
mbona sijafa mwana
na nimepoteza mw_nga!
hakuna njia sambamba
jalali ni commander
meli imetia nanga
mapepo yanashangaa!
natoka bed nikule bata
aaahh
aahh aaaahhh
ah ah ahhhh
aaahhhh
aaaahaa aaaaa ahaa
verse 2
ahh
nanimfollow hemedai kwa twitter
uno mziki hautaki vita
emaccoy kanifunza gitaa
niimbe na axe khaliff kwenye jukwaa
kisha tuelewane kulvert
dart studio tusijekosana
tusitengane kwa mashidaa
natusonge natuache lawama
ahh!
na mawazo mchana kutwa yanisonga
niingie tundu lipi niweze ponaa
nafsi imejawa na uwoga
w_nga wan_z_di kuniloga
bridge
wakataka nisipone
waganga wakashika chonde
aahh
hata maji nani kosee
nayo roho wakaichomaah
nakifo na kikaumana
mbona sijafa mwana
na nimepoteza mw_nga!
hakuna njia sambamba
jalali ni commander
meli imetia nanga
mapepo yanashangaa!
natoka bed nikule bata
كلمات أغنية عشوائية
- zach nelson › zach nelson – untitled 4-3-06 كلمات اغاني
- paris hilton › paris hilton – come up and try my new parts كلمات اغاني
- zach nelson › zach nelson – i’m worth it كلمات اغاني
- francoise hardy › francoise hardy – bosse bossez bossa كلمات اغاني
- perry como › perry como – how insensitive ( insensatez ) كلمات اغاني
- zach nelson › zach nelson – she was good… but you’re better كلمات اغاني
- merry clayton › merry clayton – yes كلمات اغاني
- zach nelson › zach nelson – give it time كلمات اغاني
- zach nelson › zach nelson – loneliness كلمات اغاني
- melisa morgan › melisa morgan – do me baby كلمات اغاني