kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sauti sol – rhumba japani كلمات اغاني

Loading...

[intro: wuod omollo]
ooh, ooooh
ooh, ooooh
ooh, ooooh
ooh, ooooh

[verse 1: kaskazini]
kuna rhumba ya juja, na ni ya ma_boy
ukisaka mitumba, nenda rhumba ya toi
kuna rhumba ya kibich, utajua hujui
kuna rhumba for all you n_ggas, ila rhumba j_pani
ndio rhumba

[verse 2: bensoul]
kuna rhumba ya state house, iko chini ya maji (yeah, okay)
kuna rhumba ya bunge, yeah, ya majambazi (yo, yo)
ukileta ujinga, utalala ndani (wueh!)
kuna rhumba for all you n_ggas, lakini rhumba j_pani
ndio rhumba

[chorus 1: sauti sol, kaskazini and bensoul]
hapa ni wapi? (ni wapi?)
tumezungukwa na shisha na shashamani (oh, no, no)
mapochopocho na vinywaji mbalimbali
wengine wanatapika wakizirai (wakizirai, yeah)
hapa ni wapi? (sol generation)
wanatutw_nga mapicha, ni paparazzi (oh, no, no)
tumezungukwa na warembo geti kali
tun_z_toka na style za kizamani
[post_chorus: bensoul]
ah! ah
zoom!
skrr! skrr!

[verse 3: xenia manasseh]
kuna rhumba ya westie, ya mabeshte
kwa mashinani, sheki your waisti
rhumba ni nyepesi, isikuwe kesi
kuna rhumba for all my n_ggas, ila rhumba j_pani
ndio rhumba

[verse 4: nviiri the storyteller]
kuna rhumba karura, ya kupanda miti
ukiwa koinange, hakunanga risiti, eh, ai
rhumba oyole, hiyo ni ya mangwati
to all of my hoes and all of my n_ggas, rhumba j_pani
ndio rhumba, ohh

[chorus 2: sauti sol, kaskazini and xenia manasseh]
hapa ni wapi?
tumezungukwa na ma_bouncer na machuani
kuna mapedi, mapoko, pia mapinji (eh, eh, yeah, eh)
na wanaseti michele kwenye vinywaji (kwenye vinywaji)
hapa ni wapi?
kuna visanga, vioja mahakamani (vioja mahakamani)
wapenzi wapigana mate hadharani (oh, ohh, oh, oh)
wengine wanatekana nyuma ya taxi (nyuma ya taxi)
[post_chorus: bensoul]
zoom!
skrr! skrr!

[verse 5: okello max and bensoul]
nitie rhumba obunga, mano mar jothurwa (ah, zoom!)
to kidwa bilo mbuta, rieri yo manyatta (okay! yeba!)
yawuoi orwaka akala, to nyiwa ondiso avunja (skrr! skrr! avunja!)
kuna rhumba for all you n_ggas, lakini rhumba j_pani
ndio rhumba, ahh

[interlude: bien_aimé and chris kiomo]
ahh
sol generation, you know
hii sh_t imeniweka zone, inatamba
ahh

[chorus 3: sauti sol and kaskazini]
hapa ni wapi?
waheshimiwa wako nje kwa foleni
na raia wako ndani, wajivinjari
wan_z_toka na style, ni za kiodi
hapa ni wapi?
ma_watchie wote wameleta utiaji
wakafungia wakubwa nje ya party
wakawachia ofisi wafanyikazi

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...