sauti sol – mafunzo ya dunia كلمات اغاني
Loading...
mafunzo ya dunia
niishi ni ose
nisote nikope
nipate ya wote
utatembea pengi
na macho ni mingi
sikio ni mbili
tumia akili
uwe wa kwanza
usiwe wa pili
maisha si movie katika hizi enzi
oooh dunia mbona hukunipa penzi
maisha haya kwako hapa ni magumu
ninavumilia mwisho nitajivunia ya dunia mbona hukunipa penzi
mimi nina shangaa (aaaaah)
mimi nishangaa nilifanya nini
ili niishi ivi
maisha yangu yangu duni
naimba hii mziki nipate riziki
mwisho nitanawiri niendeshe mercedes
nitangaa shida za dunia niziache nyuma niendelee
dunia mbona hukunipa penzi
maisha haya kw_ngu hapa ni magumu
ninavumilia mwisho nitajivunia
ya dunia mbona hukunipa penzi
mimi ninashangaa (aaaaaah)
mimi ninashangaa
كلمات أغنية عشوائية
- disappear fear › disappear fear – dance all night كلمات اغاني
- mymp › mymp – paalam na كلمات اغاني
- twiztid › twiztid – i’m just sayin’ كلمات اغاني
- ivan alyosha › ivan alyosha – god or man كلمات اغاني
- theresa sokyrka › theresa sokyrka – dream a little dream of me كلمات اغاني
- faron young › faron young – season’s come & go كلمات اغاني
- icehouse › icehouse – over my head كلمات اغاني
- shout out louds › shout out louds – hermila كلمات اغاني
- k ci jojo › k ci jojo – knock it off كلمات اغاني
- liza minnelli › liza minnelli – where is the love كلمات اغاني