sauceboiz – missed calls كلمات اغاني
[verse 1: linkyonwaves]
sipendi pressure za life, me sina wife
napenda kuwa litty niwe high na kite
we don’t do beef hatutaki ku fight
kejani kuna bong si ukuje na light
i pay my dues me hutoanga tithe
but me hukuwa sinner niko hyped for life
big up to my brothers nawapenda walae
msupa kukupenda bana that is a lie (uh_huh, uh_huh)
checked my phone nina missed call
msupa anadhani nina cheat yoh
but life iko easy kuna cheat codes
me hukuwa rapper but i sing songs
i don’t do bbs i don’t do stress
i don’t like streets vitu zile zime stretch
ukipata feelings me nafinya box x
me hukuwa toxic ask my еx
[verse 2: ke9]
oh no si pick calls nikiw_nga autopilot zone
the new distro mali safi ikuwеke zombie mode
maisha simple avoid those people
saa zingine siko idhaa na those people
ndio maana missed calls wasi dhani siko ridho
niko riko nikikaza ki ombitho
kwenye gang stuck na day ones, ati
fellow man si ame ivisha stunts
big bad nina rhymes una think hard
pick fight uta run this time, ati
cheki time hizo calls zina disrupt
time dime kwenye beat na destruct
it ain’t hivyo ni vile siko pick mode
zingine evil ndio maana me siko
interested hivyo na form flani iko
كلمات أغنية عشوائية
- kid liberty › kid liberty – winning isn’t for everyone كلمات اغاني
- kamazz › kamazz – танцуй (dance) كلمات اغاني
- basco › basco – scope كلمات اغاني
- the iveys us › the iveys (us) – to us كلمات اغاني
- hudi › hudi – die with a notepad كلمات اغاني
- spaceyy › spaceyy – write now كلمات اغاني
- frostmoon eclipse › frostmoon eclipse – unnatural isolation كلمات اغاني
- syndicate dogs › syndicate dogs – zawodowy morderca كلمات اغاني
- いきものがかり ikimono gakari › いきものがかり (ikimono gakari) – tsuzuku كلمات اغاني
- vanessa neigert › vanessa neigert – vanessas jive party mix كلمات اغاني