kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

samba mapangala & orchestra virunga – marina كلمات اغاني

Loading...

nimetuma wakusalimie
barua pia nimetuma usome
nikiwa nikitembea mara kwa mara uk_mbuka mapenzi yetu vipi marina

mapenzi sio kitu kipya duniani kilianza na adamu na hawa eeh

nimetuma wakusalimie
barua pia nimetuma usome
nikiwa nikitembea mara kwa mara uk_mbuka mapenzi yetu vipi marina
mapenzi sio kitu kipya duniani kilianza na adamu na hawa eehh

kwa hila nimesafiri
uko umebakia
chunga mapenzi yetu
kwa simu tutaongea aahh

mapenzi ya simu sitaweza
kama hunipendi uniambie
mimi bado ni murembo sitangoja
nikipenda naolewa ahh mie

mapenzi haichaguwi kabila
siku hizi muzungu muchaina uowana
j_panese mwafrika vilevile eeehhh
mie marina aahh

mapenzi ya simu sitaweza
kama hunipendi uniambie
mimi bado ni murembo sitangoja
nikipenda naolewa ahh mie

mapenzi haichaguwi kabila
siku hizi muzungu muchaina uowana
j_panese mwafrika vilevile eeehhh
mie marina aahh

uzuri wa mwanamke sio urembo
ni tabia aahh
uzuri wa mwanamke sio urembo
ni tabia aahhh

uzuri wa mwanamke sio urembo
ni tabia aahh
uzuri wa mwanamke sio urembo
ni tabia aahhh

uzuri wa mwanamke sio urembo
ni tabia aahh
uzuri wa mwanamke sio urembo
ni tabia aahhh

uzuri wa mwanamke sio urembo
ni tabia aahh
uzuri wa mwanamke sio urembo
ni tabia aahhh

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...