kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

salmin swaggz – hookah (remix) كلمات اغاني

Loading...

[hook x 4: young thug]
baby p-ss me the hookah
p-ss me the hookah
p-ss the hookah
p-ss the hookah

[verse 1: salmin swaggz]

watch, i’m coming with an ex-banger
got a flow mpaka soo then na extend-ah
nnavyowashika kwenye show kama suspender
see mahaters wanablow wanaanza nipenda
nyota simba sio unipange kwenye fear cl-ss
kama unaimba njoo jichange uje na beer gl-ss
vimba kichwa kuona wameshakusifia bas
ukija unafichwa kwenye mdundo unaokimbia kasi
kamwe usisahau aliyekupoteza, aliyekuokota wakati wengine wamekutelekeza
siogopi wakisema nagota game ninavyo icheza
mcs nawachota kama mayweather
i start winning, i’m still spinnin’
living fast die young and i’m still speeding
i’m living on the charts where you don’t fit in
i think i’m living on my past? stop dreaming

[hook x 7: young thug]

[verse 2: salmin swaggz]

kifo changu kitamake headline zaidi ya osama
kwa wanaodhani niko hot hii ni cold summer
wanahofia niko booth watanyuti ama?
na ukidiss wala hatukutafuti kama
i don’t wanna speak nasty
your best rapper ananiheshimu kama fasting
niko hapa kuwakilisha but i’m asking
mbona maproducer hamzifanyi ka za last king
watoto wa siku hizi naona hawana future
bando bure hua wanachati mpaka kunakucha
bangi wanavuta mpaka wanamshangaza pusha
na madada ndo kabisa wanang’ata kucha
we usivute but you should buy me a hooker
na unik-mbuke hata kwa hizi rhyme nnazoshuka
it’s not a remix baby, but really you should know that you should p-ss me the hookah

[hook x 7: young thug]

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...