kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

romi swahili – luna كلمات اغاني

Loading...

luna
so… sad for you and i
luna, mtoto wa moonlight

verse 1
experience ilikuwa eye_opener, college na wasichana warembo
wengi walitafuta good conduct, tukapoteza lengo
hapa ndani nilikuwa mgeni, hakuna mtu tulijuana
cautious from the start, ju hapa niliambiwa huwa na
malpractice ku_trip downfall na demands cultic
culture dirty, through god niliamini nitapita katikati
hii siku ya orientation, alitembea mbele yangu kwa hallway
msichana mrembo, acha nimwite obsession ju always
alikuwa all over kwa fikra zangu ka moshi ya ganja
dream at wake, ni ka alipuliza speck toka kwa kiganja
ningelalaje na mother fantasy alikuwa kwa upeo wa macho?
utanielewa ka ushapata gravity crush kwa life yako
haku_sweep off my feet, ali_break ground nilikanyaga
poetry in motion, at some point nak_mbuka niki_stagger
hips zake zinge_swing zinge_generate stima
nguo alivaa si fupi, nili_covet, i confess i’m a sinner
(hook)
binadamu, nimepata mwandani wa siri
binadamu, hii ndio nafsi yangu asili
binadamu, hisia hutawala roho na akili
nikimk_mbuka luna, kipande change cha pili
binadamu, nimepata mwandani wa siri
binadamu, hii ndio nafsi yangu asili
binadamu, hisia hutawala roho na akili
nikimk_mbuka luna, kipande change cha pili

verse 2
time ilisonga aki_smoke reality yangu ka sigara
clock tick kwa bedside table ilinik_mbusha kila mara
soul kui_console, fear kui_control, nika_act the leader
kwa conversation fupi baadaye, aliniambia anaitwa “luna”
alikuwa first year na ali_study kwa school ya architecture
ali_smile nikimwambia urembo wake ni thick in texture
budake alikuwa nigerian, madhake alikuwa kenyan
on a personal opinion, ali_find people warmer in kenya
time ilisonga, nilihofia asiseme yuko hooked up
lakini si ni ngumu kuamini hata karne ilianza na nukta
sik_mchocha vile ana body na umbo la chupa
rather, niliskia my first love story nikaanza k_mtafuta
so tulipanga date, on a larger scale tujuane zaidi
at this point vitu chemistry ilifanya, hatungekaidi
kwa chill spot tulifaa kupatana, thirty minutes earlier
na hii feeling nilikuwa nayo, hata time haingekuwa barrier
(hook)
binadamu, nimepata mwandani wa siri
binadamu, hii ndio nafsi yangu asili
binadamu, hisia hutawala roho na akili
nikimk_mbuka luna, kipande change cha pili
binadamu, nimepata mwandani wa siri
binadamu, hii ndio nafsi yangu asili
binadamu, hisia hutawala roho na akili
nikimk_mbuka luna, kipande change cha pili

verse 3
toka mbali alitembea with grace na perfection
personality bila pride, unless dunia ilicheki reflection
headwrap ya badu, shanga za kiafrika, need i mention
alinik_mbusha good art na nyimbo za redemption
handshake ilikuwa soft na skin tone ya alabaster
b_tterflies kwa tumbo na pia roho ilipiga faster
alinik_mbusha vile black woman hu_bleed kulea watoto
so strong, wengine walijifungulia kwa fields za cotton
akaniambia hangekuwa na mimi kulingana to the sages
ati ilikuwa bound na utamaduni na wisdom of ages
singemwandikia love letter kutumia bedsheet ka pages
nilimheshimu, tuli_hug na tuka_cross vidole
what would i have done kuondoa limitation bound na culture
aka_tilt kichwa aside, kuficha smile ime_fracture
kwa hizo levels za connection si ingekuwa ngumu k_mwacha
alitembelea roho yangu na aliacha a beautiful pattern
future huwa njiani inakuja na past si ya ku_follow after
so presently, ningemvisha pete after kunyang’anya saturn
tuli_dance kwa moonlight, warmth ili_assuage machungu
tuli_move na rhythm ilifuatana na arm_swing ya mungu
macho ilionyesha ana mengi ya kusema, ningemruhusu
vitu hange_whisper kwa maskio, aliniambia na busu
hii ni diary yangu kabla nii_set on fire
ju inanik_mbusha the future i never had na pia desire
story ya k_mwona tena, life haina vitu certain
after ku_watch drama kwa theatre na fall ya curtain
“i love you,” ilikuwa words zake nilisikia za last
before ni_drift kwa blackness, the last thing nilisikia ni blast
(outro)
[the extract]

(bridge)
nakupenda, mi na wewe ni body mbili na soul moja
kila kitu ili_work ili tuwe pamoja
hata mwili zikuwe spirit, tuwe pamoja
nakupenda, mi na wewe ni body mbili na soul moja
kila kitu ili_work ili tuwe pamoja
hata mwili zikuwe spirit, tuwe pamoja
pamoja

(outro) (maya angelou)
the sun has come
the mists have gone
we see in the distance our long way home
i was yours to have and you were always mine
we loved each other
in and out
in and out
in and out… of time!

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...