kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rich mavoko – mapenzi كلمات اغاني

Loading...

bobo madeit
hivi we ungewezaje kuishi bila unayempenda
ama ingetokeaje yote dunia kukutenda
wanavyojua mimi mapenzi ya mwisho matamu
hasa ukishapenda, mwenzio akakuchenga
zina utumwa hisia
na mwili ukipata maradhi
ukizinga kukimbiwa
utabeba silaha jambazi

kuna muda unaenjoy matamu
kuna muda unalia machungu
utayasifia matamu
kesho huyataki tena, machungu
kadata tatizo mapenzi
kawamridhi kisa mapenzi
kafilisika eti mapenzi
wanagombana kisa mapenzi
na data tatizo mapenzi
kawamridhi kisa mapenzi
kafilisika eti mapenzi
wanagombana kisa mapenzi
mchezo gani huo mwisho hauk_mbukwi wema
hata utende mazuri bure, utamu ukiisha mjini shule
sa itakuaje na itakuaje, ushakuwa teja na huwezi
kidole ushapinga nae mpaka mapipi unaibiwa
zina utumwa hisia
na mwili ukipata maradhi
ukizinga kukimbiwa
utabeba silaha jambazi
kuna muda unaenjoy matamu
kuna muda unalia machungu
utayasifia matamu
kesho huyataki tena, machungu
kadata tatizo mapenzi
kawamridhi kisa mapenzi
kafilisika eti mapenzi
wanagombana kisa mapenzi
kadata tatizo mapenzi
kawamridhi kisa mapenzi
kafilisika eti mapenzi
wanagombana kisa mapenzi

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...