rayvanny – tunawabuluza كلمات اغاني
dj kidogo dogo
tunawabuluza, tunawabuluza
tunawabuluza, ona tunabuluza
tunawabuluza, tunawabuluza
tunawabuluza, ona tunawabuluza
ona walivyo wapole wamebaki kunong’ona
magufuli ndio zaidi wenyewe wanaona
wanatafuta kasoro kila mbinu zinagoma
maendeleo uhakika namba wanaisoma
standard gauge mabara bara shwari
zahanati shule mahospitali
ndege mwendo kasi flyover kali
kajali masikini mafisadi chali
magu! wapiga madili anapita nao!
wazee wa miradi feki anapita nao!
wakwepa kodi anapita nao!
wanaopenda rushwa anapita nao!
si tupotoka zamani anabisha nani?
si ndo chama lao rangi ni njano kijani
tena ni mashujaa, pole wapinzani
magufuli kichwa jembe namba one (ayoyoyo)
tunawabuluza, tunawabuluza
tunawabuluza, ona tunabuluza
tunawabuluza, tunawabuluza
tunawabuluza, ona tunawabuluza
aya kelele ya kwanza kwa magu yake (wee)
aya kelele ya pili kwa john yake (wee, wee)
aya kelele ya tw_tu kwa pombe yake (wee, wee wewe)
we mikono juu, watu shangilia
we mikono juu, weka mashati kofia
ccm mikono juu, watu shangilia
basi weka juu, weka mashati kofia
peperusha bendera, wee bendera
sijaona bendera, ccm bendera
peperusha bendera, wee bendera
kina mama bendera, sijaona bendera
peperusha bendera!
aya magufuli aya wee (ayaa wee, ayaa wee)
mama samia aya wee (ayaa wee, ayaa wee)
majaliwa aya wee (ayaa wee, ayaa wee)
mashiru aya wee (ayaa wee, ayaa wee)
na mangula aya wee (ayaa wee, ayaa wee)
pole pole aya wee (ayaa wee, ayaa wee)
kiw_ngwala aya wee (ayaa wee, ayaa wee)
na makonda aya wee (ayaa wee, ayaa wee)
bado watoto wao, magu ni baba lao
ccm moto wao, tena kiboko yao
bado watoto wao, magu ni baba lao
ccm moto wao, tena kiboko yao
mikono juu alafu piga makofi
weka juu huku unapiga makofi
mikono juu alafu piga makofi
weka juu huku unapiga makofi
tunaenda kushoto, wee kushoto
twendeni kushoto, watu wote kushoto
turudi kulia, wee kulia
tunarudi kulia, wee kulia
twendeni kushoto, wee kushoto
tunaenda kushoto, eeh kushoto
turudi kulia, wee kulia
kina mama kulia, wee kulia
kina mama vigelegele
sijasikia vigelegele
aya wanangu piga milusi
sijasikia milusi
ccm kiboko yao, ccm kabari yao
ccm kiboko yao, ccm kabari yao
ccm kiboko yao, ccm kabari yao
ccm kiboko yao, ccm kabari yao
jembe magufuli, kiboko yao
wee mama samia, kabari yao
hadi majaliwa, kiboko yao
wee mwajembe baba, kabari yao
mbeya tulia mama, kiboko yao
ata cha ramila, kabari yao
كلمات أغنية عشوائية
- marius muller westernhagen › marius müller-westernhagen – hier in der kneipe fühl’ ich mich frei كلمات اغاني
- josip on deck › josip on deck – spooky scary skeletons كلمات اغاني
- awrose › awrose – dreams كلمات اغاني
- domenic marte › domenic marte – que importa amiga mia كلمات اغاني
- free finga › free finga – swipe left كلمات اغاني
- marc antoine › marc antoine – ooh ha كلمات اغاني
- milestone › milestone – please go away كلمات اغاني
- beau dommage › beau dommage – j’ai oublié le jour كلمات اغاني
- tri sestry › tři sestry – vodka كلمات اغاني
- leopoldo rassier › leopoldo rassier – minha querencia كلمات اغاني