rayvanny – penzi كلمات اغاني
nawaza kwa nini sik_mjuaga zamani, oh mama
pendo lake zito mpaka lavunja mizani, oh mama
yeye na mimi kachoo nisharuka nyie oh mama
wasiojua mapenzi pole jamani
ati alikuwa bachelor, aibu gani
aliyeumba dunia akayaumba na mapenzi
wala hakukosea, ila mwezenu mi siwezi
nilishapenda ila nikatendwa
moyo ulidunda maskini roho
mbona nilikonda licha ya kuhonga
kuweka viwanda nishaomba poo
mwenzangu bado hujajua, baki unicheke
kwako yamechanua, ngoja yanyauke
(raymond)
andazi si kitumbua acha mapepe
ukipendwa tanua kwa nini nisideke?
jamani nimependa mi, nimependa mi
nimependa mi nataka nimweke ndani
mwenzako, nimetendwa mie, nimetendwa mie
nimetendwa mi, mapenzi siyatamani
jamani nimependa mi, nimependa mi
nimependa mi nataka nimweke ndani
mwenzako, nimetendwa mie, nimetendwa mie
nimetendwa mi, mapenzi siyatamani
maana mapenzi ya bara kayachanganya na pwani
vipi nitajinasua, ameumbika sina budi nisifie
akipika natamani nilipie, sehemu ya ubaga uliweka kiwembe
ndio maana mwasi, akaona ajijenge
wewe kwako sikia, (sikia mwana)
ila kwako utalia, (utalia sana)
pili nilikuwaga fundi, fundi zaidi yako
كلمات أغنية عشوائية
- jenny burton › jenny burton – remember what you like كلمات اغاني
- kwintell wright nya freeman › kwintell wright nya freeman – illernoise كلمات اغاني
- mr polska › mr polska – bolle man كلمات اغاني
- j blackfoot › j blackfoot – taxi كلمات اغاني
- shagg colie › shagg colie – candy & cake كلمات اغاني
- dragon › dragon – rain كلمات اغاني
- supercell › supercell – kimi no shiranai monogatari كلمات اغاني
- manel › manel – roma كلمات اغاني
- the gossip › the gossip – casualties of war كلمات اغاني
- the gossip › the gossip – move in the right direction كلمات اغاني