kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rayvanny – one day yes كلمات اغاني

Loading...

sidanganyi mnapendezana., naona umejipata
umejipata
anakuita honey mmefanana utasema mapacha
ooh mapacha nnnhh
najaribu kukusahau mwendeleee hataka
umenikosea, nikusameh. k_mbuk_mbu kichwani
ipotee labdha na mm nitapendwa one day

kweli wivu ninao na roho inauma
j_po najikaza ila mapemzi yanauma. moyo
umeondoka naooo hurumumaaa haunaaaaa
naona mmependana bora nikae pembeni
nisubiri wa kw_nguuuuuu

one day yes, one
one day yes. one day yes
nitapata wa kw_ngu
one day yes. one day yes
one day yes
na mimi nitapendwa

unavonisema vibaya ivi unadzani siskiii
mnavyopost kunikomoa ivi unadzani sioni
moyo umeritire kupenda kama hivi sirudiiii
nilipanda mbegu ya upendo nimevuna pressure na b. p
najipa moyo mchana na usiku kwa haya
maumivu yatageuka njoziiiiiiiiiiiiiiii
najipaaaa moyooooo itafika siku nitapa
w_ngu wee atanifuta machoziiiiii

najaribu kukusahau mwendeleee
hataka umenikosea nikusameh
k_mbuk_mbu kichwani ipotee
labdha na nitapendwa one day
kweli wivu ninao na roho inauma
j_po najikaza ila mapemzi yanauma
moyo umeondoka naooo hurumumaaa haunaaaaa
naona mmependana bora nikae pembeni
nisubiri wa kw_nguuuuuu

one day yes, one
one day yes. one day yes
nitapata wa kw_ngu
one day yes. one day yes
one day yes
na mimi nitapendwa

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...