kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rayvanny – nitongoze كلمات اغاني

Loading...

[intro: rayvanny& diamond platnumz]
weka shida chini glasi juu tujipongeze
usijali wanafki wambea chapa mziki, wote tucheze
haha, vanny boy
chui
platnumz
(s2kizzy baby)

[verse 1: diamond platnumz]
ah maswali mengi kwa waiter
hauna hela nini? (eti)
hiyo shi’ ngapi, hii shi’ ngapi?
hauna hela nini? (eti)
maswali mengi kwa waiter
hauna hela nini? (eti)
ile shi’ ngapi, hii shi’ ngapi, hauna hela nini?
[pre_chorus: rayvanny]
nimeachwa staki tena maswali
naenda beachi kula upepo wa bahari
naumwagilia moyo mziki kwa mbali
jimbo liko wazi sema nitakubali

[chorus: diamond platnumz]
ati unanitaka?
eti unanipenda? (basi nitongoze)
unanitaka?
eti unanipenda? (basi nitongoze)
unanitaka?
eti unanipenda? (basi nitongoze)
eish, unanitaka?
eti unanipenda? (basi nitongoze)
eh bwana we

[verse 2: rayvanny]
hela ya kodi nainywea pombe
baba mwenye nyumba akileta fyoko natia makonde
na kama hayanogi mapenzi usikonde
akiringa akwende chukua mwinginе sio kinyonge

[refrain: diamond platnumz]
osh yu kwapi?
enh yu kwapii huyo? (basi nitongoze)
yu kwapi?
yu kwapi huyo? (basi nitongoze)
yu kwapi?
yu kwapi huyo? (basi nitongozе)
yu kwapi?
yu kwapi huyo? (basi nitongoze)
[pre_chorus: rayvanny]
nimeachwa staki tena maswali
naenda beachi kula upepo wa bahari
naumwagilia moyo mziki kwa mbali
jimbo liko wazi sema nitakubali

[chorus: diamond platnumz]
ati unanitaka?
eti unanipenda? (basi nitongoze)
unanitaka?
eti unanipenda? (basi nitongoze)
unanitaka?
eti unanipenda? (basi nitongoze)
unanitaka?
eti unanipenda? (basi nitongoze)
eh bwana we

[outro: rayvanny]
(s2kizzy baby)
zombie
onyesha boxer ash tuone boxer aosh
nyanyua shati ingia kati tuone boxer
onyesha boxer ash tuone boxer aosh
nyanyua shati ingia kati tuone boxer

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...