rayvanny – kwetu كلمات اغاني
[maneno ya wimbo ya “kwetu”]
[verse 1]
sifa kwa mola w-ngu maulana
kwa mengi aliofanya
hadi mi na we kukutana, kisura
sij-panga kudanganya
nasema ukweli mama
kisa nakupenda sana, kisura
umesema wanipenda
ila maisha yangu maseke
michicha milenda
menu yangu na ya kuku mateke
yaani chenga, kila siku kilio saa lini nicheke
sina tenda
ugali buguruni mboga temeke
nafurahi umeniridhia
niwe na wewe kimwali
maisha yangu mitihani
isoisha maswali
ukifika nyumbani vumilia
maana hali sio swali
asubuhi mchana pakavu
jioni ndo kula futali
tena
[pre-chorus]
huku kwetu
muda wowote mateja wanatinga
viwalo vyetu
ukifua k-mbuka kuvilinda
huku kwetu
muda wowote mateja wanatinga
mwali wee
suala la nyumba na gari mi
[chorus]
bado, mi bado, mi bado
ndo kwanza nimepanga
bado, iyee, mi bado
sina hata kiwanja
bado, iyee, mi bado
kulipa kodi majanga
bado, mimi bado, mi bado
[verse 2]
mtaani kwetu hekaheka ukienda sokoni kariri vichochoro
ghetto namkeka tu hakuna kitanda, shuka wala godoro
hekaheka hakuna kibatari ndani giza totoro
mvua ikinyesha nyumba inageuka ka boti ya comoro
[bridge]
ila nimeshakupa
nimeshakupa mtima mtima
ukija kususa
utanizika mzima mzima
nimeshakupa eh
nimeshakupa mtima mtima
ukija kususa
utanizika mzima mzima
tena
[pre-chorus]
huku kwetu
muda wowote mateja wanatinga
viwalo vyetu
ukifua k-mbuka kuvilinda
huku kwetu
muda wowote mateja wanatinga
mwali wee
suala la nyumba na gari mi
[chorus]
bado, mi bado, mi bado
ndo kwanza nimepanga
bado, iyee, mi bado
sina hata kiwanja
bado, mie, mi bado
kulipa kodi majanga
bado, mimi bado, mi bado
كلمات أغنية عشوائية
- william fitzsimmons › william fitzsimmons – from you كلمات اغاني
- william fitzsimmons › william fitzsimmons – lions كلمات اغاني
- ft kendrick lamar rozzi crane › ft kendrick lamar rozzi crane – crazy ass bitch (ft. kendrick lamar) – rozzi crane كلمات اغاني
- liz › liz – dont say كلمات اغاني
- charli baltimore › charli baltimore – hunnid كلمات اغاني
- high hazels › high hazels – summer rain كلمات اغاني
- nova local › nova local – games كلمات اغاني
- william fitzsimmons › william fitzsimmons – centralia كلمات اغاني
- lil herb › lil herb – windy city shit كلمات اغاني
- space captain › space captain – easier كلمات اغاني