rayvanny – ex boyfriend كلمات اغاني
leo nakula kwa macho, nguvu ya kusema sina
maneno ya mipasho na jeuri zimeshazima
nilishafuta namba zako
nikachoma picha zako
sikujali ulivyoliaa
mbele ya mashoga zako
nikasema uende zako
nguo nikakutupiaaa
na zaidi, uliuguza vidonda
kwa vipigo, manyanyaso kila siku
kwa mawazo ukakonda
niko bize kucheat, nafungua zipu
ulinibembeleza, nikakubeza
unanuka na nikakutelekeza
macho makengeza,miguu ya pwesa
kuwa nawe nikamesa niliteleza
leo unapendeza, wamekutengeneza
wanaume wenye mali, wenye fedha
sasa unajiweza, siweza kujikweza
najutia nafasi kuipoteza
leo aibu yangu
ex boyfriend
ex boyfriend
ex boyfriend
siitwi tena honey, baby
jina langu limekuwa
ex boyfriend
ex boyfriend
ex boyfriend
sikujua k_mbe tabu peke yangu, naugua
ohhh
nawaza nilifeli wapi, kusema sikutaki
sura ya baba na kitambi cha makasi
sasa una mtanashati bitozi tena smati
mtu wa gyme tena ana six park
me nipo juu ya bati, sina mikakati
geto mwendo chai na chapati
nous ushahama mburahati
una nyumba masaki
soirée unachoma nyama kila siku
ushanipiga mikuli aah
insta mi sifurukuti aah
mambo ya gauni suti aah
mkifanya photoshoot aah
mapenzi hayana komando
mwenzako inaniuma roho
natamani nikwite njoo
turudi kama bifooo
k_mbe shepu ilijificha kwenye dera
hizo skini jinsi mama zinakera
utaniletea kadi kwenye machela
siku akikuvalisha shera
na ulinibembeleza, nikakubeza
unanuka na nikakutelekeza
macho makengeza, miguu ya pwesa
kuwa nawe nikamesa niliteleza
leo unapendeza, wamekutengeneza
wanaume wenye mali, wenye fedha
sasa unajiweza, siweza kujikweza
najutia nafasi kuipoteza
leo aibu yangu
ex petit ami
ex petit ami
ex petit ami
siitwi tena miel, bébé
jina langu limekuwa
ex petit ami
ex petit ami
ex petit ami
sikujua k_mbe tabu peke yangu, naugua
كلمات أغنية عشوائية
- hatom › hatom – asleep كلمات اغاني
- bigbang 빅뱅 › bigbang (빅뱅) – fantastic baby (japanese version) كلمات اغاني
- merry clayton › merry clayton – how’d i know كلمات اغاني
- sighdafekt › sighdafekt – lost v2 كلمات اغاني
- selfmadeempire › selfmadeempire – sava – cristalli sottili (prod. yuri beats) كلمات اغاني
- la habitacion del panico › la habitación del pánico – sonambulo 6 كلمات اغاني
- arthur gunn dibesh pokharel › arthur gunn, dibesh pokharel – have you ever seen the rain? كلمات اغاني
- steel prophet › steel prophet – the god machine كلمات اغاني
- makiidilla › .makiidilla – i don’t wanna fly كلمات اغاني
- motherborg › motherborg – hon3b كلمات اغاني