kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rapcha – suu كلمات اغاني

Loading...

ugali wa kutosha na suk_ma wiki

on repeat, siku saba kwenye wiki

full

midoli inapamba magetto watoto wanacheza na miti, ntiti tu

riziki haizikibi wala hainunuliki na uwezo haufichiki rafiki

mkunga nmechelewa kufika kazini na watu wana uchungu na mziki

huu umaarufu ni mzigo wa mwiba
mi naubeba juu ya kipara kibabe

rapper anaetaka hii tabu itashuka vibaya athubutu hata anitaje
niko busy natengeneza culture ambayo watoto wenu lazma waifate

mfalme wa mwisho kwa kizazi chake

staki izo flowers i need a garden (wuuh)

mkandarasi niko zangu site vibarua njooni mbebe kokoto

nawachongea barabara ya rap, mwanaume kazini pita kushoto

na kwa mwendo huu nahisi ntabaki majivu maana nin_z_di kuwa wamoto

rapcha ni sumu ya panya ushajua umbali gani natakiwa nkae na watoto

(lighter sound) oh my god!

kazi na dawa ije pesa na power
ukishiba faida umekula loss

koti la babu for now liko safi ‘coz chawa wanaishi kwenye koti la boss

naulizwa kipindi gani huwa naenda nyumbani kukoga kukosha mikosi

of course mangi hata kabla ya decеmber utaniona tu hai nikitoka moshi

ushindi hujaga na pain, ukija na favor tu jua kuna siku utapay
na bei inakua haisogei, dеlay ikizidi tu boss ananuna haongei

na daily wanakukebehi
waliokubeba wanabwaga hawakutetei

vikwazo kwenye high way
then jina lako w_n_lizika day by day

nashinda mpaka sienjoy pambano

so mimi ni mfano sistahili shindano

bar kwa bar hakuna mchuano

nkiskia tu mwano naleta kibano

namaliza awamu naongeza mitano

jimboni mtaniona after miaka mitano

ukiwa kwa sangoma unachanwa na nyembe we bwege hospitali unaogopa sindano

shhh bar zinaingia kwa mwili

usichezeshe tako ilo utavunja syringe
safari njema ka una catch feelings

wenzako wanakusubiri

nashusha fire now sema suu

namchana idol wako sema suu

99 hatuingiwi kiboya boya watakuvunja taya sema suu

nani anataka noma sema suu

toa hata ka mguno sema suuu

nalea watoto silei ujinga natia tu block chap sema suuu

nafanya nlichozaliwa kufanya ukinibania i don’t really care

huwezi shindana na kazi ya mungu ukadhani watoto wake watakuchekea

radio mbao frequency inasomeka 99 now on air

mnaeza kutafuta kazi nyingine maana huu mziki nawaonea

nashusha fire now sema suu

namchana idol wako sema suu

99 hatuingiwi kiboya boya watakuvunja taya sema suu

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...