kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rapcha – bado كلمات اغاني

Loading...

sjui nakosea wapi, show me how to love

labda nina upendo mwingi pesa chache, that’s all i have

hata nikikupa zawadi ndogo fanya kuithamini

coz you give what you love to the one you love

haiba yako ilinionesha tokea mwanzo hujatulia

ila moyo w_ngu ukakung’ang’ania

kwakuwa naudekeza nkauachia

ukakupenda kinoma, moyo koma, na we ujifunzage kusikia
umenionesha vituko

najitahidi sana nsichepuke k_mbe kwako mi ndo mchepuko

unakuta kuna mwana madem wanamtema bila reason

huku mwingine anaenjoy playing girls in the same circle

waga tu unashtuka uko deep

usifall inlove bora ufall asleep

matonya alimlilia anita nlikua mdogo sik_mwelewa dah

ukishampenda hata ukimcheat hauskii raha

na kukuacha kisa unanicheat

sawa na kuikimbia mvua maana kila mtu anaweza cheat

ntakuvumilia maana we ndo unanifit

chagua unipеnde ama unizike six feet

chorus
nilivyotegеmea malengo yangu

k_mbe haikuwa hivyo

niliona number one nafasi yangu

k_mbe ilikua zero

oh baby

j_po bado nakupenda

ila mie sina nitachokitenda zaidi ya upendo juu yako

verse 2

kuna cousin yako mmoja handsome boy

unapenda k_mpost sana kila siku

juzi ulienda k_mcheki kwao na alikua peke yake mkashinda na mkalala wote mpaka usiku

(no baby usiku!?)

ukanambia huyu cousin yangu hanifanyi kitu
acha wivu mi nalala huku

na ushatoka nae mara kibao

text unachelewa kujibu unasingizia shida mtandao

sihitaji unipe password

ila nambie tu kwanini tukiwa wote simu unaiweka flight mode

una bodaboda wako unamuamini

huwa ananiangalia kwa huruma ka ana kitu moyoni

na kuna bwana wa best yako alikuleta na gari

kwenye simu umemsave shem darling

baby i’m so f_ckin p_ssed right now

tyrna get you out of ma head na nikusahau

nazoea mateso ila daily unanichenjia mapigo

umeuharibu moyo umeiachia pombe inimalize figo

nguo zako ulizoziacha home zinanitesa

ndani umeacha marashi yako kwenye kila ulichogusa

sijafuta picha wala namba kwenye phone

baby ukihisi kunihitaji please get back home

chorus

nilivyotegemea malengo yangu

k_mbe haikuwa hivyo

niliona number one nafasi yangu

k_mbe ilikua zero

oh baby

j_po bado nakupenda

ila mie sina nitachokitenda zaidi ya upendo juu yako

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...