platform tz – mapepe كلمات اغاني
kama ikitokea amani ya moyo imetoweka
ah bora kunizika kuliko kukukosa
na atakama ikitokea tupo kwenye shida
mi nimeridhika siwezi kukutosa
afu nikwambie wewe
umeishika pumzi, pumzi ya mapenzi
na chochote niambie wewe
yani kama chizi, chizi wa mapenzi
na penzi lako pingu ndo nishafunga
moyo umekuchagua nakutaka baby
aah lango ndo nishafunga
moyo umekuchagua nakutaka taka
aaaaah aaaaaah
aaeeh sina mapepe mimi kwako nimetulia
aaeeh sina mapepe mimi kwako nimetulia
nimetulia tulia afu nina amani
asa napokua na wee
tulitumia vyajuani tukaishinda mitihan
mimi furaha yangu ndo wewe aah wewe
ndio hao marafiki vijini
wasopenda uwe na mimi watasubiri subiri
walidhani hutokua na mimi ona wanadhalili si tunapeta na jiji
na penzi lako pingu ndo nishafunga
moyo umekuchagua nakutaka baby
aah lango ndo nishafunga
moyo umekuchagua nakutaka taka
aaaaah aaaaaah
aaeeh sina mapepe mimi kwako nimetulia
nimetuli nimetuli aah sina mbambamba
aaeeh sina mapepe mimi kwako nimetulia
ah nimeumaliza mwendo ah mwendo mwendo
platform tz – mapepe mp3 download
كلمات أغنية عشوائية
- moreno chembele › moreno chembele – tu me descontrolas كلمات اغاني
- constance amiot › constance amiot – resonances كلمات اغاني
- pozeg › pozeg – unjustified actions كلمات اغاني
- rhymefest › rhymefest – letter كلمات اغاني
- junia t › junia-t – too smoove كلمات اغاني
- noah23 › noah23 – petit mort كلمات اغاني
- styles p › styles p – show n off freestyle كلمات اغاني
- caterina caselli › caterina caselli – tutto nero (paint it black) كلمات اغاني
- kaveh › kaveh – tiden er din كلمات اغاني
- big jk › big jk – bars كلمات اغاني