kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

p-unit – kare كلمات اغاني

Loading...

intro [frasha]

mazee nilipatana na huu dame

akani_show hakuna ma mc wakali

so, 5nikampeleka decimal

akapatana na punit

alafu musyoka akanipea hii track

twende kazi

verse 1 [frasha]

frasha, mi mkare

nilianzanga mziki tu na nakitare

akajikalisha basi tu na dakitare

si unajua frasha nakuwaga dakitare

but mtaani, mi ni ordinary4
si wa geti kali, boss mi mnare

ndio maana tu_dame tunashindanga kerere

wanataka mpango wa kando ati niwadarre

boss, hey, nisha_marry

niko mdogo mdogo tu kwenye gare

mmm, ha? si usare

nikisonga mbele wako pare pare

pale pale? eh, pare pare

si tuko kwenye club tuna_party party

parerezo yaani pare pare

mnarusha mizuka tu pare pare

[chorus]

maishani mw_ngu (maishani mw_ngu)
sij_pata mkare, mkarе, mkare

maishani mw_ngu (maishani mw_ngu)5

sijamwona mkare, mkare, mkarе

verse 2 [bon’eye]

bon’eye jemedari mkare

mistari generale kare

generali tangu kale, kare

kikundi serikale, yaani

siri kali tangu kale, kare

haijalishi kale gani kare

kazi zote karekare, kare

nakatika ile hali kare

cash and carry in a hurry, kare
4
carry forward, kari francis, haree
safari za mbalimbali, kare

biashara mbarembare, kare

hatuchoki na hii safari, kare

sauti za kinyumbani, kare

wekelea kwa dakitare, kare

ya dakitare na ni kare ke!

chorus

maishani mw_ngu

sij_pata mkare, mkare, mkare

maishani mw_ngu

sijamwona mkare, mkare, mkare

verse 3 [buganya]

buganya mimi nina sware

madada kibao, wote shware

wanamuka mbele yangu, na ni sare

wanataka leta noma na kucheza ngware

kw_ngu kuja nje kuna mbwa kare

nyumba ndani huko pata bibi kare

mkare, mkare, mkare na si mkale

nimeng’ara karl kani gani toka kare

nimechapa toto ware ware bado kare

kama umeshindwa basi reta ture

na uongeze ture ndio mi nikure

kuja turerembe kure tuko rembe

nyewe kowa manyu wanataka rembe

wanakaa nakatika kama wembe

otwabe cheki buganya kitambe

[chorus]

maishani mw_ngu (maishani mw_ngu)

sij_pata mkare, mkare, mkare

maishani mw_ngu (maishani mw_ngu)

sijamwona mkare, mkare, mkare

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...