kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

p mawenge – nahamia weusi كلمات اغاني

Loading...

nishachoka kuimba ngoma za haraka na ukombozi
wanetu wanakamata tu nafasi za uongozi
kila miziki kwetu ni visasi na uchokozi
haya maamuzi yaheshimiwe wala staki gozigozi
arusha city ndo hood ya xplastaz, watengwa
kipindi nelly anaukandia ushanta, nlipenda
so acha nieleweke before i be dead gone
kwanza mbeya, dar, na chuga iwe third home
nafurahi nikimwona joh makini yuko na g
wamepiga picha wakiwa ofini kwa dc
na hii ndo hiphop love, mimi ni mc
wanaowaza shobo huwa napiga chini siwaskii
machizi wanajihepusha na maugomvi na fujo
ni kikundi cha rap wala sio cha ndondi na judo
wako smart kwenye brain, smart kwenye kazi
wako kasi kwenye game hawataki ubabaishaji
i was a good fan wa nako2nako na river camp
kabla p mawenge halijaja bado katika game
na mambo yakanoga tangu joh aje na nikki
nawaona kwenye chupa la niaje ni vipi

[chorus:]
nahamia weusiiii
mana machizi wako busy na game na hawataki haribu name
nahamia weusiiii
hawajawahi kujihusisha na dramas na wakapata fame
nahamia weusiii
wanafanya kazi zao kwa plans wala hawanaga complain
nahamia weusiii
na ndo sababu walipotoka na walipo now is not the same

[verse two:]
unaik_mbuka nako2nako ya bang na ndo zetu kuwakilisha
pindi wao na kikosi yechu yechu hamna vita
kabla ya beef kabla ya kaka zetu kuchapika
“show love to each other”, mpaka yesu akatajika
mambo yalikuwa fresh pindi lord yuko na ray
“hii kwa ajili yako baby”, nice back in a days/huku bu huku ibra kabla hawaja_part ways
“hawatuwezi” was fav track to play
bila kipingamizi mi weusi naikubali
mmefanya mengi mmebisha sana kwenye safari
nidham na juhudi ndo zimewafikisha mbali
napenda nijoin kundi so nkikaribishwa shwari
kushindana kwenye game isitujengee chuki
mwishoni tulogane rodi tutembee uchi
waambie wagombanishi wasituletee uzushi
tupigeni ngoma kali chorus atembee jux
we never been friends i know that for sure
its over now i gotta bottle bring glasses to pour
allow me to get in ya plane let’s start the tours
“vipi kuhusu kikosi kazi?” hilo staki kujua

{chorus:]
nahamia weusiiii
mana machizi wako busy na game na hawataki haribu name
nahamia weusiiii
hawajawahi kujihusisha na dramas na wakapata fame
nahamia weusiii
wanafanya kazi zao kwa plans wala
hawanaga complain
nahamia weusiii
na ndo sababu walipotoka na walipo now is not the same

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...