kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

otile brown – yule mbaya كلمات اغاني

Loading...

moyo w_ngu aliumiza vibaya n_n_surika kua hai
n_n_surika kua kua hai na kidonda ndugu
alionipa kina maliza tu dawa katu hakiponi ooh akiponi!!
ila k_muacha ndio siwezi moyo umemchagua
yeye j_po najua hanipendi kua naye sitaki
ila sina budi moyo unamuitaji
(nampenda anajua ndio mana anajisheua moyo
una kina kirefu kilichonieka kwake ndo sijaelewa×2)
(aaghaaghaagh haya mapenzi hayana macho
aaghaaghaagh masikini moyo w_ngu kapenda mahala sipo x2)
(yule mbaya ndo nimpendaye
yule mbaya ndio nimtakaye
yule mbaya ndio nimpendaye
nafsi mtumwa wa moyo x2)
kweli nafsi mtumwa wa moyo
niliishia k_mk_mbatia nilipomfunia wazi wazi na jamaa
aliporudi nikampokea ila akanizuga tena na tena
mdomoni mchungu ila nimeshindwa k_mtema
(sipougenini ila ni kweusi anachothamini
fulusi tatizo mimi mfupi vyangu vyaliwa kichwani x2)

(aaghaaghaagh haya mapenzi hayana macho
aaghaaghaagh masikini moyo w_ngu kapenda mahala sipo ×2)
(yule mbaya ndio nimpendaye
yule mbaya ndio nimtakaye
yule mbaya ndio nimpendaye
nafsi mtumwa wa moyo ×2)

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...