kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

otile brown – watoto na pombe كلمات اغاني

Loading...

aaah aah… aaah aah
aaah aah… aaah aah
aaah aah… aaah aah
aaah aah… aaah aah

verse 1: otile brown
ooh bizee napiga hela kama benki
wanaiga swagga ila haiketi
look sipigi hutokuta navaa feki
leo gucci au prada
pengine glasi za mkata
nakata madem kali zaidi ya donna tanasha
simba wenu mlanyasi meno haiga nyama
sishoboki hata ngoma zikibuma
still sipendi mazoea
hata ukinichekea nauchuna
hook
baby whats your name? kuja ujumuike nasi
kamata kinywaji acha wasi wasi
na kama tinga lin_z_ma ita taxi
and it’s all on me
bado nasoma namba
napenda watoto hii darasa
punguza selfie nitakukacha

chorus
watoto na pombe, watoto na pombe
watoto na pombe, (nilichofuata ni)
watoto na pombe, watoto na pombe (pombe)
watoto na pombe
pombe… (aaaaaah) totos
pombe… (aaaaaah) totos

verse 2: mejja
wananiita sultan huku ghetto
njoo nikuonyeshe maisha ya majengo
tupitie mpambe tule wali
twеnde pangani tuchane majani
aah naona umevaa mini
na unashinda ukiivuta vuta chini
ni hio haga inainua sio siri
samahani ni macho sio mimi
tumеfika humu ndani ya giza
usijali bei nitalipa
kidogo msupa akaitisha
nikasikia ameitisha king fisher
eey if you know you know (you know)
king fisher panty remo_ aiii
manze ni leo, leo ndio leo
kwa nyundo leo watoto na vileo
hook
baby what’s your name? kuja ujumuike nasi
kamata kinywaji acha wasi wasi
kama tinga lin_z_ma ita taxi
and it’s all on me
bado nasoma namba
mi naye watoto ni darasa
punguza selfie nitakukacha

chorus
watoto na pombe, watoto na pombe
watoto na pombe, nilichofuata ni
watoto na pombe, watoto na pombe
pombe, watoto na pombe
pombe… aaah aah… aaah aah totos
aaah aah… (pombe)
aaah aah totos
na iwake

bridge
whiskey river na kisa
b club, golden ice (na iwake)
ooh ni starter pass
plug na seven d (na iwake)
whiskey river na kisa
b club, golden ice (na iwake)
onnex na tapass
plug na seven d (na iwake)
outro: mejja
na milan pia
njuguna’s na ka local pub
kwa mama esther i see you
moraa

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...