kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

otile brown – crush كلمات اغاني

Loading...

ooooh beiby
sometimes nahisi kama
ni jana tumekutana
kwa miaka ishirini ndani ya ndoa
ila bado unanikosh-ga

una mature kama wine
watoto watatu ila haujafulia
tena mapenzi hayaj-pungua
nakupenda zaidi ya jana

wala sijakuchoka
mapenzi yan-z-di noga
najua huna masonga
na wazuri wamezaliwa
ila wewe ndo bora

fashion nova youu…eeeh
yoou….fashion nova you
you are my favourite
mulina wanje

fashion nova youu….eeeh
yoou….am still crushing on you
you are my favourite
mulina wanje

oooh beiby…oooh yeah
oooh beiby

eeh eeh
if am to choose
girl i still choose you
mara nikikuona roho inagonga dudu
kwako nalilia sinong’oni bubu

wajua zaidi yako mimi sinaga
wananiuliza kipi nacho kupendeaga
si lazima waelewe, beiby
juu mimi nakupenda mwenyewe, beiby

wala sijakuchoka
mapenzi yan-z-di noga
najua huna masonga
na wazuri wamezaliwa
ila wewe ndo bora

fashion nova youu…eeeh
yoou….fashion nova you
you are my favourite
mulina wanje

fashion nova youu….eeeh
yoou….am still crushing on you
you are my favourite
mulina wanje

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...