kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

osama feat. podo & aslay – homa (feat podo, aslay) كلمات اغاني

Loading...

somoye pika chai tunywe me na wee
wambeya washindwe pata nafasi ya kunong’ona
tena uzibe masikio usiwasikize

uni pende mimi engine wapotezee

nadunda dunda mzigo umepata punda
nimechoka kuuguza donda iye iye iye
nadunda dunda mzigo umepata punda
nimechoka ku uguza donda iye iye iye

usije niona fala aaaah
usiku ukikosa kula my baby
usizani kama nime kukosea aaah
baby tuendele… na mapenzi yetu
na makosa nisame, nisame nisame

wachawi wasoge
wawe mbali yetu
baby wakeme wakeme wakeme

homa, wanapata homa
tunavyo pendana, homa
venye tunafatana wana umia sana, homa

uso na tabia una malingo mwendo
mtoto kifuani kuku mdondoo
natetemeka natetema
panapo joto uni pepee
baridi kali uni k_mbatie
nishike usiniachie
maana we wa kw_ngu miyee

nadunda dunda
mzigo umepata punda
nimechoka ku uguza donda
iye yee yee

nadunda dunda
mzigo umepata punda
nimechoka ku uguza donda
iye yee yee

baby tuendele…
na mapenzi yetu
makosa nisame… nisame nisame
wachawi wasoge wawe mbali yetu
baby wakeme, wakeme wakeme

homa
wanapata homa tunavyo pendana, homa
venye tunafatana wana umia sana, homa
ni jali nikujali unipende daima, homa
endelea kunimeza usije nitema, homa

homa ooa maa baby
baby homa homa ooa maa
inawabana mmmh homa
baby homa, homa…

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...