kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nyashinski – wach wach كلمات اغاني

Loading...

yeah
uh
yeah, yeah

wach wach
wach wach
yeah

mi ni senior nafaa kuwa deputy
pedi wako anajua nina pedigree
infact unafaa kuwa unasimama niketi
hii gava itasanya hata mamatha vibeti
mwizi atakuibia walenje ukidedi
mwizi anapunguza jam akidedi
hizo ni vitu ma_rapper hawatemi
kua ma_career ni pang’ang’a na deni

hakuna mtu anasema ukweli
watu w_n_lipwa mapeni
nikiwa mavela naona makaveli
hii ni msomo free ka people daily

umeng’aria hawa watu for long, mpaka saa hii inabore
inabore saa mpaka umeanza ku_long for watu unang’aria
iko wapi hizo throne naskia zimekaliwa
sikuangi kwa zone, nakuanga kwa caliber flani ya form
haiezi match_iwa, najua itakuwa long kabla mu_mature
msinitry mi najijua

risasi haisimamishwagi na kifua
kisasi hailipishwagi na ratili
na kama customer flani anasumbua
mi najijua

nimeconfirm (nimeconfirm)
mi najijua (mi najijua)
mitaa zimetii_tii_tii_tii
mi nachafua (mi nachafua)
zao ziko down
si tuko tu up (si tuko tu up)
mitaa zimetii_tii_tii_tii
mi nachafua (mi nachafua)

sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach)
wach wach, wach wach
wach wach ndo vile naskia
wach wach ndo vile naskia
sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach)
wach wach, wach wach
wach wach ndo vile naskia
wach wach ndo vile naskia

okay you see, only what they let you see
na hii ni advice si matusi
don’t fu_ up juu ya ganji
don’t act like you’re so holy
judgement yako haikuponyi
ukiomoka asubuhi usikuwe ushasota by jioni

mi na_slaughter microphoni
go missing, hamnioni
nikinyamaza jua nikupromising ka tigoni
been polishing sk!lls za mine
ni astonishing ka milioni
na inakaa ungekaa mjinga if you were wishing failure on me

yeah, mauraru hatatuja tuna
ngata gari yangu inakunywa
defence na attack, najichunga
guranteed leo baki na k_ma
ka mr. tuna, ah sina tumor
plus huna kiuno hadi najiuma
umetisha and i’m sure you know

we itisha mpaka wa_jam
na hii beat ni ya my n_gga sam
ear drums zako zinakubali
pia roho yako inakubali
hii flow ina uhodari flani
huonangi mtaani, ndo unaona hapa nani ndo daktari
dere wa trailer atakuwa na ferrari, amen
mi najijua

nimeconfirm (nimeconfirm)
mi najijua (mi najijua)
mitaa zimetii_tii_tii_tii
mi nachafua (mi nachafua)
zao ziko down
si tuko tu up (si tuko tu up)
mitaa zimetii_tii_tii_tii
mi nachafua (mi nachafua)

sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach)
wach wach, wach wach
wach wach ndo vile naskia
wach wach ndo vile naskia
sema sa wach wach ndo vile naskia (wach wach)
wach wach, wach wach
wach wach ndo vile naskia
wach wach ndo vile naskia

nimeconfirm
mi najijua (mtaa zimetii_tii_tii)
mi nachafua
zao ziko down
si tuko tu up (mtaa zimetii_tii_tii)
mi nachafua
wach wach, wach wach, wach wach (tii_tii_tii)
wach wach, wach wach, wach wach (tii_tii_tii)

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...