kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nyashinski – top form كلمات اغاني

Loading...

[intro]
(eh, beat tamu)
(eh, beat tamu)
(ehh) yeah, yeah
(uhh) yeah
uh

[verse]
mwaka mzima hakuna show, sa unatakaje? (sa unatakaje?)
ka ki_cookie, rent haishuki na mi ni mzazi
vitu sihitaji zina_feel stupid, so sikupi mziki huhitaji
kwa ufupi, chini si_stoop, mimi niko juu vile huwezi imagine
watu wanataka hope (watu wanataka hope)
niitoe wapi? (niitoe wapi?)
mi mwenyewe nashangaa hii row najua kutaendaje? (kutaendaje?)
vitu ka mng’aro kwanza nishatoa kwa budget
sijali kwa ‘gram hizo mapicha zinatokaje
madeni za ma_supplier, grown men sa wanagwaya
pia mi naomba nipeeni chance ka kemsa wana_hire
ulim_judge, sa unamwita mentor juu kuna pesa kwa umalaya
shingo inameremeta, nakaa influencer wa mawaya
heh, mi huwa na simu, ukiniita bash, nakuja na till
na look ina_clash na sura ya ndimu
na watu una_trust ndio watu naheshimu
ka kuna cash ndio nashika simu
ka niko works, nakuw_nga mashini
nalipa tax na nalipa bill, ndio maana ni black alafu [?]
hawa ma_youngin’ wananeed mentorship
more than wana_need censorship
kwa street mi ni evangelist
wana_serve tea, mi na_serve confidence
success si by accident, na usi_focus_ie past events
na rulebook jua tu must i_bend
the good book said don’t judge me, man
kwa top three, mi ni number one, two, three
of course hii city iko na love for me
na_approach hii kitu kama destiny
ma_softie ndio huw_nga wa_loud vizii
ka hunioni, hata mi sikuoni
but haifiki jioni ka huniskii redioni
mi ni ka news, we hata na miwani
hata na binocular, bado mi sikuoni
paid my dues, my lifestyle choices ni headline news
hakufai kuwa na jam niki_headline shows
grown ass men complain like hoes
ku_sign wasanii haina deadline, bro
yup, i’ll do it when i do it (when i do it! eh, eh, eh!)
mwaka mzima hakuna show (acha tuziashe)
acha tuziashe (acha tuziashe)
kilimanjaro tu ndio itapita hii highness (yeah, yeah)
ama collabo kati ya mi na south c’s finest (r.i.p.)
ata kwa mtaro utanipata na designer
[outro]
(acha tuziashe)
(kilimanjaro tu ndio itapita hii highness)
(for my people i do whatever i can)

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...