kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

noel nderitu – waweza (acoustic) كلمات اغاني

Loading...

kila ninapofanya kazi
kwa uwezo w_ngu mi siwezi
ingawa nimejitahidi

kusonga mbele kusonga
lakini mi sibabaiki
kwani wewe unami
mamlaka yote duniani ni yako

hakuna jambo usiloliwe loliweza
kwa nguvu zako baba tumeshi tumeshinda
imani yangu ipo kwako we
wewe bwana
nami ntajificha chini yako
wewe mwamba

wewe waweza
wewe waweza bwana
wewe waweza
wewe waweza bwana
wewe waweza
wewe waweza bwana
wewe waweza
wewe waweza bwana

unaweza baba

hakuna jambo usiloliwe loliweza
kwa nguvu zako baba tumeshi tumeshinda
imani yangu ipo kwako we
wewe bwana
nami ntajificha chini yako
wewe mwamba

wewe waweza
wewe waweza bwana (unaweza bwana)
wewe waweza (hakuna aliye kama wewe)
wewe waweza bwana (hakuna aliye kama wewe)
wewe waweza (kama wewe)
wewe waweza bwana
wewe waweza (waweza)
wewe waweza bwana

wewe waweza (unaweza)
wewe waweza bwana (waweza yote)
wewe waweza
wewe waweza bwana
wewe waweza
wewe waweza bwana
wewe waweza (unaweza bwana)
wewe waweza bwana

mfalme wa wafalme ni wewe ni wewe (unaweza bwana)
hakuna wakulinganishwa na we baba (unaweza bwana)
nguvu zako hazina kikomo baba (unaweza)
unaweza bwana
wewe waweza

wewe waweza (waweza)
wewe waweza bwana
wewe waweza (wewe wewe)
wewe waweza bwana (wewe waweza)
wewe waweza (wewe waweza baba)
wewe waweza bwana (nakuamini baba)
wewe waweza
wewe waweza bwana
wewe waweza
wewe waweza bwana

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...