kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nino tz – sawa كلمات اغاني

Loading...

mmh ahhhhh
lalala lalala
mmh

yaani sisikii sioni mikwako taabani
kwa penzi ulonipa janaaa
siri ndani baayani mambo hadharanii
kifua sina kifuuua sinaaaa

maneno meno yao hayazibi pengo hata sudusi mwanyaa
ning’ate tu nikupapo mishebo niko radhi mwaaayaa
aagh aah

penzi letu sukariii
tamu tamu hatariii
ndoa haipo mbalii
uwe w_ngu halaliii

usipofika safarii
we nambie usijaliii
nikuungie nauliii
ufike utakapo darling

nikipika si utapakua
sawa mamaa sawaaa
nikukupa si utachukua
sawa mamaaa sawaa
nikipika si utapakua
sawa mamaa sawaaa
nikukupa si utachukua
sawa mamaaa sawaa

waambie wazazi wakoo kwamba upo na mimii (mimi tuuu)
mashoga marafiki zako kwamba upo na mimii (mimi tuu)
na hata wasotupenda pia waambie upo na mimiiii
ili watakapoona mi nakuoa wasiaminiiii
umenipa magongo mi nitembeee
maana mwanzo walinipiga mitamaaa
mi na wewe tuyajengee shahidi yetu awe tu rabbaanaaaa

kwenye 18 mi sio mzembee
ndani ya box sihitaji lawamaaa
dampo sumbaw_nga, pemba tanga au
maana dhahiri umeniokotaaa

penzi letu sukariii
tamu tamu hatariii
ndoa haipo mbalii
uwe w_ngu halaliii

usipofika safarii
we nambie usijaliii
nikuungie nauliii
ufike utakapo darling

nikipika si utapakua
sawa mamaa sawaaa
nikukupa si utachukua
sawa mamaaa sawaa
nikipika si utapakua
sawa mamaa sawaaa
nikukupa si utachukua
sawa mamaaa sawaa

mastermix boy

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...