kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ngwair – mademu wangu كلمات اغاني

Loading...

[intro]
woo!
uh
a.k.a. mimi
ngwair
na east zoo
mzee wa ma_doo (what?)
bongo records

[chorus]
mademu w_ngu wote mimi nawazimia
nipeni namba zenu wote nitawapigia
sijali kabila bali zenu tabia
na uzuri wenu ndio vinavyo nivutia
mademu w_ngu wote mimi nawazimia
nipeni namba zenu wote nitawapigia
sijali kabila bali zenu tabia
na uzuri wenu ndio vinavyo nivutia

[verse 1]
na mademu wengi wa kila aina
hadi mmoja wa kichina, na_
achana na kina tina, nina, phina (?) dina
wapo wengi hadi wengine nimewasahau hata majina (woo!)
kuna sabrina ‘demu w_ngu wa kikurya
tatizo ana hasira sana
na kila siku kudundana, kupigana, ndivyo mapenzi yetu yanavyo kwenda
na sio ka demu wa ki_chagga (what?)
ameenda shule (yeah)
bomba, halafu mjanja ‘ila anachonikera
hatuwezi kuelewana siku nsipokuwa na hela
sio sintah, ni anita ‘demu w_ngu wa ki_nyaturu, mkorofi ka kijita
na mfipa, mbali ya uzuri wake na mapenzi anayonipa (uh_huh)
napenda jinsi anavyo jua kupika
demu w_ngu wa ki_tanga, nampenda anajua sana mapenzi (yo!)
urefu ndio kigezo kwa dеmu w_ngu wa ki_nyamwezi
wapo wengi na ‘kwa hali na mali wote, ngwair nawaеnzi tu
kwani wote nawapenda sana, kama’ nnavyozipenda mak_mbusho na k’nyama
[chorus]
mademu w_ngu wote mimi nawazimia
nipeni namba zenu wote nitawapigia
sijali kabila bali zenu tabia
na uzuri wenu ndio vinavyo nivutia
mademu w_ngu wote mimi nawazimia
nipeni namba zenu wote nitawapigia
sijali kabila bali zenu tabia
na uzuri wenu ndio vinavyo nivutia

[verse 2]
na mademu wengi hadi nadata
hata sijui (ni?) vipi mapenzi
na ‘wote wananitaka (wote wananitaka)
sijui yupi niwe nae, yupi nimtose (what?)
kwani hakuna ambae amekamilika sifa zote (uh_huh)
mfano mfupi wa demu w_ngu wa ki_luguru, ndio chanzo cha k_mwaga na k_mchukua wa ki_mbulu
na ‘nashukuru kupata demu wa ki_ngoni, msomi na sio kama demu w_ngu wa ki_gogo (yeah)
kuomba yeye ndio fani, anaweza pika ugali bomba halafu mboga mpaka akaombe kwa jirani (woo!)
na mmanyema kwa kuchonga soo
na kuna wengi ambao sijajua tabia zao, bro
ingawa huwa n_z_ngatia tabia (uh_huh)
napenda pia awe mzuri wa kuvutia (say what?)
ikiwezekana awe mzuri kupindukia
yaani hata nikiwa [&@#_], niwe najisikia raha
na mpaka leo stori hii nawapatia na mademu kama tisa hivi bado nawaf_kuzia, yeah
ha_ha_ha, ha_ha, aah
east zoo y’all
[chorus]
mademu w_ngu wote mimi nawazimia
nipeni namba zenu wote nitawapigia
sijali kabila bali zenu tabia
na uzuri wenu ndio vinavyo nivutia
mademu w_ngu wote mimi nawazimia
nipeni namba zenu wote nitawapigia
sijali kabila bali zenu tabia
na uzuri wenu ndio vinavyo nivutia

[verse 3]
wengine niliwapata wakati bado niko dom
wengine kwenye shoo nilipo kwenda ku_perform
wachache wanajulikana mpaka home
lakini hakuna ambae sikutumia condom
na mademu wengi kila sehemu (kila sehemu)
hata simu yangu yenyewe imejaa namba za mademu tu (uh)
napenda figure ya demu w_ngu wa ki_haya
wala sijali mnavyo muita yeye malaya
na mpare, ‘mbishi sana
demu w_ngu wa ki_rangi nae ana wivu sana
asione nimesimama na msichana
hatakama tunaongea dili za maana, ‘ishakuwa lawama
na msandawe, ‘mcheshi sana
ila lugha ndio kitu tunacho shindwa kuelewana
kama [____], yaani huwa sijui ana maana gani
labda ni “i love you, honey” (haha)
na mzaramo kila wiki, ngomani
bora demu w_ngu wa ki_pemba, yeye kutwa yupo ndani (yeah)
msi_mind sana kwa wale niliowasagia
ila muamini kwamba wote nawazimia
[chorus]
mademu w_ngu wote mimi nawazimia
nipeni namba zenu wote nitawapigia
sijali kabila bali zenu tabia
na uzuri wenu ndio vinavyo nivutia
mademu w_ngu wote mimi nawazimia
nipeni namba zenu wote nitawapigia
sijali kabila bali zenu tabia
na uzuri wenu ndio vinavyo nivutia

[outro]
haha, yo
ngwair
na hii ni kwa ma_player
nia yangu mi nikutaja makabila tu
so take care, uh_huh
ha, yeah, baadae
yo, peace kwa ma_doo na machizi wa east zoo
daudi mavure pamoja na k.u.u

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...