ngoi wa mangai – tranka كلمات اغاني
wamangai wamangai..
nguza v king eeeeeeee dizabow dizabow…
we nunua bonge la gari at utanipa lift
mimi mwenyewe nawajua si wametoka kwa kiki
ndugu zao ma dj mziiki wait biskut
bwana jozee mwita vp mbona hauulizi utoke vip
wanapost magari wameazima showroom
wanadai nyumba zao w_n_lala sitting room
wanashunda instagram na madem wa singidan
wanapost chips kuku hawajazila tangu juzi
mimi mwenyewe mkali siwezi kufunga mbwa
sitegemei zali tranka siwezi kuvunja
ngoi wa mangai logo yangu huezi unga
yule kiponda kw_ngu ni bonge la mchumba…
sijaanza jana naandika dingi anachana
ndevu na osama
saada na kapama
nakesha na tenzi yani ucku na mchana
ety who em i
we bonge la nyani umezaliwa afrika
una tetea masnich
nawachana masnich wote wawili
yule kiiponda na yule second wa pili
ma spy waooo wanaishi kwa uoga
naichana hi verse siko tungi
nko bomba
naitawala dar kama vile ghetto kw_ngu
unamkuta demu wako ana tattoo ya sura yangu
wamangai iii…..zero miakaaa naneeeee…yaaaaa man
ssoooo yahhh….soo yaaaahhh
كلمات أغنية عشوائية
- herman norwegian › herman (norwegian) – hvem er du? كلمات اغاني
- karol kolombiana › karol kolombiana – colombiana كلمات اغاني
- dexys › dexys – the town i loved so well كلمات اغاني
- broken and mended › broken and mended – that’s no more كلمات اغاني
- breeze › breeze – splash كلمات اغاني
- apocalipsa אפוקליפסה › apocalipsa – אפוקליפסה – ha’kaitz ha’acharon – הקיץ האחרון كلمات اغاني
- grouper › grouper – children كلمات اغاني
- derek pope › derek pope – la girl كلمات اغاني
- rigos › rigos – специалист (specialist) كلمات اغاني
- leo hainer › leo hainer – shells كلمات اغاني