kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nay wa mitego – simuachi كلمات اغاني

Loading...

maneno mnayosema
hakuna jipya linalo niumiza rohoo
mwisho wa reli kigoma
anavyo nidekeza mpaka naomba poo
yani kwake mi mpole kama sio mimi
anajua kanipa nini
mi namganda ganda ganda naye ananipatia
yani kwake mi mpole kama sio mimi
anajua kanipa nini
mi namganda ganda ganda naye ananipatia
waweke ukuta mi nishaweka nukta
umenikamata nasiwezi furukuta
uvae kajensi baby uvae bukta
bado unapendaza na figa yako matata

simwachi ng’o
simwachi ng’o
simwachi simwachi simwachi ng’o
simwachi ng’o
simwachi ng’o
simwachi simwachi simwachi ng’o

oh baba god amenipa lijali mwanaume amenipa
kweli baba god hapa ametisha
tugigombana k_muacha nasita
anavyo nidekeza nitekenya
mwenzenu macho nalegeza
aii ayaa machela
nijazie kibaba nawekeza
aii eh hata jikoni nampelekea
eeh nikimsi ananitembezeyaa
kwanza cheki si tunavyofanana
hata ukimuita malaya
msidhani tutakuja kuachana
huku kila siku sherehe
waweke ukuta mi nishaweka nukta
umenikamata nasiwezi furukuta
uvae kajensi baby uvae bukta
bado unapendaza na figa yako matata

simwachi ng’o
simwachi ng’o
simwachi simwachi simwachi ng’o
simwachi ng’o
simwachi ng’o
simwachi simwachi simwachi ng’o

ooh simwachi ng’o
no no simwachi ng’o
baby yeah yeah
simwachi ng’o

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...