kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nay wa mitego – muziki gani كلمات اغاني

Loading...

[intro: nay wa mitego & ]
qs
trueboy (seductive records)
trueboy’s in the building, baby
trueboy

[chorus: diamond platnumz & nay wa mitego]
ah
hivi nyi ma mc
mnachoimba kitu gani
mara bangi mara matusi sa ndo muziki gani
hii no hip_hop, h_o_p (trueboy)
muasisi wa burudani (uhn)
tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani
ah
hivi nyi ma mc
mnachoimba kitu gani
mara bangi mara matusi sa ndo muziki gani
hii no hip_hop, h_o_p (trueboy)
muasisi wa burudani (uhn)
tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani
[verse 1: diamond platnumz & nay wa mitego]
hata bibi yangu mi aliniambia
mwanamke anahitaji kubembelezwa
kupetipeti matunzo pia
ukienda rafu utampoteza
muziki ni mfano wa binti muzuri
na ndio maana namtunza kwa vazi na uturi (uhn)
ah, piga kimya
we ndo haufai kabisa hauna maana
wabana pua kila siku mnarogana
bibi yako alikuambia muziki ni kama binti
mbona unawachezea unawatema kama big g
mara wema
mara joketi
mara naj
mara penny
je mnafanya muziki mpati mbinti
ooh ooh…
hata waze wazamani
walishasemaga kazi na dawa
chamuhimu jukwaani
ni kuhakikisha wanapagawa
kwa michezo ya kuringa ringa
ndo hawa wanadata…
badilika usiwe mjinga
utawakamata…
[chorus: diamond platnumz & nay wa mitego]
ah
hivi nyi ma mc
mnachoimba kitu gani
mara bangi mara matusi sa ndo muziki gani
hii no hip_hop, h_o_p (trueboy)
muasisi wa burudani (uhn)
tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani
ah
hivi nyi ma mc
mnachoimba kitu gani
mara bangi mara matusi sa ndo muziki gani
hii no hip_hop, h_o_p (trueboy)
muasisi wa burudani (uhn)
tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani

[verse 2: nay wa mitego & diamond platnumz]
muziki wenu ushirikina ndio umetawala
q chilla _n_lalama anasema umеmroga
mganga wako aliekutoa umemkimbia hujalipa
bila skendo za magazеti basi huskiki
ah
mi ni mti wenye matunda
milele siogopi kupigwa mawe
ubaya wenu wengi kayumba
elimu mliitupa sandakalawe
bado hujanishawishi
bongo flava inanipa kichefu chefu
kwanza nyie malimbukeni wa umaarufu
mnalenta maringo mpaka kwa mashabiki
wabana pua nyie watoto sio riziki
mnavaa nguo za dada zenu
zinawabana mapaja nyie makaka duu
ah, nyie watoto mchele mchele
(haya matusi bwana)
kwenye show viuno mbele mbele
(mbona unatutukana?)
ah, nyie watoto mchele mchele
(haya matusi bwana)
kwenye show viuno mbele mbele
nimewanyamazisha
brazameni vipi we bado unabisha
mi nna mengi nnayajua
ila we ni mtemi utaanzisha utata
michezo yenu kutoboa pua
bora ninyamaze usinipige mbata (oh, oh oh)
[chorus: diamond platnumz & nay wa mitego]
ah
hivi nyi ma mc (ma mc)
mnachoimba kitu gani (hii…)
mara bangi mara matusi sa ndo muziki gani
hii no hip_hop, h_o_p (trueboy)
muasisi wa burudani (uhn)
(ah, wapi)
tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani
(la la la la la la la la la la)
ah
hivi nyi ma mc
mnachoimba kitu gani
mara bangi mara matusi sa ndo muziki gani (oh oh oh)
hii no hip_hop, h_o_p (trueboy)
(yeah, yeah)
muasisi wa burudani (uhn)
(oh oh oh)
tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane pua nyumbani

[outro: diamond platnumz & nay wa mitego]
ha ha ha
umepaniki brother
ah, wapi nani kapaniki
acha uoga dogo

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...